Kuna baadhi ya watu bado hawajamuelewa Rais Magufuli!

Wewe ni mpumbavu Makamu wake ni dini gani labda na Waziri Mkuu ni dini emu tuambie!! Usitake kuhusisha mambo ya Rais na udini kaa pembeni na fikiria kwanza.

Hao wako kuzuga tu. Ukweli uko wazi kwamba kwake waisilamu ni nongwa. Unawezaje kumtoa mtu muadilifu kwenye kazi, kisha unampa mtu mzembe wa dini yako kama sio maamuzi yanaendeshwa na utashi wa kidini?
 
Boss Ng'wamapalala Mh. Rais nae ni Binadamu kama wewe na mimi, Mh. Rais nae ana mapungufu kama wewe na mimi. Kuna maeneo Mh. Rais anaudhubutu sana, na kuna maeneo Mh. Rais kachemka.

Tatizo letu Watanzania na Wananchi ni Unafiki, Sasa hivi Mh. Rais kazungukwa na watu Wanafiki sana, kazi yao ni kupamba na kusifia tu. Ukishaona Mtu muda wote anakusifia tu, jua kuna jambo si bure.

Pamba na Sifia kwa kujenga HOJA, hata mtu akisoma anakubali.
Mkuu;
Hoja yangu sio kuchambua mazuri au mabaya anayoyafanya bali ni kuonyesha misimamo yake ya kile anachokiamini na kukitekeleza bila kuyumba hata kama ni kizuri au kibaya.

Nadhani dhana ya kufikiri amezungukwa na watu wanafiki ni hisia tu kwa sababu hatujui washauri wake ni kina nani na wanamshauri nini.
 
Boss Kalamu1 Tatizo lenu ndio hilo, mshanyweshwa maji ya Bendera, Jambo gani nimepindisha hapo??? Mimi sina Dhiki na Shida hiyo, Njano naiita Njano, Nyekundu naiita Nyekundu.

Na kumbe haunisomagi??? !!! Mbona nashauri sana, na mengi nayoshauri, Mh. Rais na Wasaidizi wake wanayafanyia kazi. Direct au Indirect. Mimi napongeza kwa HOJA, na nashauri kwa HOJA.

Dhana potofu kabisa.
Tukuweke wewe usiyekuwa mnafiki ukamshauri? Hivi kwa nini watu huwa mnapenda sana kupindisha mambo ambayo yapo wazi?

Wewe kama mshauri ungebadilisha nini kwa mtu mwenye tabia yake!
 
Boss Ng'wamapalala Nimekuelewa kabisa ndio maana nimejaribu kufikiri nje ya Box. Nafikiri hii misimamo unayoongelea ambayo unasema yeye Mh. Rais hajali kama ni mizuri au mibaya. Mimi najikita kwenye Misimamo mibaya isiyokuwa na Tija na Taifa, Je, sisi kama Wananchi tukae kimya bila kushauri au tushauri kama wastaarabu wengine??? Je hii misimamo yake ni kuwa kuna mtu au watu wanamshauri??? !!!

Mkuu;
Hoja yangu sio kuchambua mazuri au mabaya anayoyafanya bali ni kuonyesha misimamo yake ya kile anachokiamini na kukitekeleza bila kuyumba hata kama ni kizuri au kibaya.

Nadhani dhana ya kufikiri amezungukwa na watu wanafiki ni hisia tu kwa sababu hatujui washauri wake ni kina nani na wanamshauri nini.
 
Namanisha ngazi zote za uongozi zitakuwa na kiongozi KADA for 100%
Kama hii ndio hoja yako basi siwezi kukataa au kukubali lakini ni ukweli kuwa haiwezekani ngazi zote za uongozi kuongozwa na kada wa CCM. Hata wakati wa chama kimoja haikuwezekana.
 
Tatizo lenu ndio hilo, mshanyweshwa maji ya Bendera, Jambo gani nimepindisha hapo??
Hapa ndipo ulipokosea na nikakudharau moja kwa moja.

Kama wewe ni mzoefu kwenye jukwaa hili usingenihusisha hata chembe na hayo uliyoandika hapo juu.
Maoni yangu niliyotoa kwenye bandiko kukujibu hapo juu yanazidi kudhihirika kuwa ni sahihi.
 
Boss Ng'wamapalala Nimekuelewa kabisa ndio maana nimejaribu kufikiri nje ya Box. Nafikiri hii misimamo unayoongelea ambayo unasema yeye Mh. Rais hajali kama ni mizuri au mibaya. Mimi najikita kwenye Misimamo mibaya isiyokuwa na Tija na Taifa, Je, sisi kama Wananchi tukae kimya bila kushauri au tushauri kama wastaarabu wengine??? Je hii misimamo yake ni kuwa kuna mtu au watu wanamshauri??? !!!
Mkuu Kikarara78
Sisi tuendelee tu kupiga kelele kwenye hii mitandao yetu kama njia ya kubadilishana mawazo na kuelimishana!

Historia inaonyesha ni Rais ambaye ni mbishi na husimama katika kile anachokiamini!
 
Wale baadhi ya watu ambao bado wanaojaribu kumtingisha Rais Magufuli wakidhani atabadilisha njia anayotumia katika utendaji kazi wake wananishangaza sana!

Wanaojaribu kumtingisha inawezekana hawamfahamu vizuri au wanamfahamu vizuri lakini wamejivika upumbavu!

Kwa wale wanamfahamu vizuri, siku alipotoa hii hotuba walijua vizuri nini kitafuata na nini cha kufanya!

Ukitaka kuisikia na kuisoma hotuba, GONGA HII LINK>>Magufuli: Tupo imara, atakayejaribu kutuyumbisha tutambomoa.

Baada ya Freeman Mbowe kutangaza oparesheni UKUTA mwezi Julai 2016, watu kama Edward Lowassa wanaomfahamu vizuri Rais Magufuli waliwashauri CHADEMA waachane na uamuzi huo.

Kuna baadhi ya watu kama Nape Nnauye walijaribu kumtingisha wakidhani atabadilika lakini baadaye wakashauriwa/wakajua habadilishi misimamo yake na wakaamua kufanya kile ambacho Waingereza kwenye methali hukisema, ‘’if you can’t beat them, join them’’.

Baadhi ya wale wanamfahamu vizuri Rais Magufuli ambao hawakubaliani na kile anachokifanya wameamua kujiunga naye au kukaa kimya kwa sababu wanajua hata wakipiga kelele hawawezi kumbadilisha katika misimamo yake.

Mwandishi mmoja wa Gazeti la Raia Mwema, Johnson Mbwambo aliwahi kuandika wakati wa Utawala wa Rais Kikwete, ‘’John Pombe Magufuli ni miongoni mwa mawaziri wachache katika Serikali ya Kikwete wanaochapa kazi. Yeye sheria ikishapitishwa husimama kidete kuitekeleza hadi nukta ya mwisho hata kama athari zake ni kubwa! Tena ataisimamia kwa ukali na vitisho’’.

Huwa nawashangaa sana baadhi ya watu waonapiga kelele za kisiasa wakidhani Rais Magufuli ataweza kubadilika! HAWEZI.

Nakumbuka Zitto Kabwe aliwahi pia kugusia kuhusu msimamo wa Rais Magufuli na serikali yake wakati akichangia kwenye bajeti kuu mwezi Juni 2019 ambapo alisema;
"Kuna mradi wa reli, hela za ununuzi wa ndege kwenye bajeti ya pili na tatu fedha zimeongezeka, ukiendelea mtiririko kwenye bajeti ya kwanza mpaka ya nne tunayoijadili, utaona kwamba Serikali imetatua tatizo la KUTOKUWA NA MSIMAMO kwa hiyo hii ni chanya kwa Serikali''.

Zitto aliendelea kusema, "Pamoja na sisi wapinzani tumekuwa tukiwakosoa lakini hii chanya, kwamba mtu anaona acha ni feli, lakini ngoja nifanye ninachokiamini, hili ni tofauti sana na Serikali iliyopita".
LINK>>Zitto Kabwe aipongeza Serikali kwa hili

Misimamo ya Rais Magufuli(ubishi na kusimamia anachokiamini) haiwezi kuwashangaza wale ambao wanajua tabia za Wasukuma. Ni kweli Rais Magufuli siyo Msukuma lakini kwa sababu amekulia katika mazingira ya Wasukuma ndio maana amechukua moja ya tabia ya Wasukuma!

Kama ukitaka kujua tabia halisi za Wasukuma (ubishi na kusimamia wanachokiamini) basi jaribu kufanya majadiliano na Nyani Ngabu, Kiranga na Pascal Mayalla ambao ni wana Jamiiforums! [emoji1][emoji1][emoji1]

Mtu mwaka wa 5 bado wananchi wako hawakuelewi halafu unakenua mimeno kwamba wewe ni mtu wa maana utakua na nusu ubongo!

Mwenye natatizo ni huyo asieeleweka mwaka wa 5 sasa na watu milioni 60!

Majitu mazima kukaa humu na kuanza kusifia incompetencies za hewa mmoja ni umama!
 
Hata hivyo magufuli anatawala nchi hii, sio kwa ridhaa yetu watanzania, hakustahili kuwa Rais baada ya kugalagazwa na Lowasa kwa kupata kura milioni 4 tu dhidi ya kura milioni 12 za Lowasa.
Alipindua nchi ndio maana anatuendesha kijambazi! kila kitu kina mwisho, ataondoka ataiacha nchi kama alivyoikuta.
 
Angalia figisu figisu zinazoendelea kwenye uchaguzi mdogo hapa nchini kila mtendaji amekuwa muoga kumpitisha mgombea wa upinzani.AMKA
Kama hii ndio hoja yako basi siwezi kukataa au kukubali lakini ni ukweli kuwa haiwezekani ngazi zote za uongozi kuongozwa na kada wa CCM. Hata wakati wa chama kimoja haikuwezekana.
 
Hao wako kuzuga tu. Ukweli uko wazi kwamba kwake waisilamu ni nongwa. Unawezaje kumtoa mtu muadilifu kwenye kazi, kisha unampa mtu mzembe wa dini yako kama sio maamuzi yanaendeshwa na utashi wa kidini?
Dini? Dini gani anayoamini kama sio maigizo tu?
Hili la dini ni kumwongezea ujiko tu na kuchochea wenye misimamo yao katika maeneo hayo kuzidi kufarakanisha taifa.

Hapa sioni mtu mwenye kuamini dini na kumfanya ndiyo kiwe kigezo cha kuwabagua waTanzania wengine kwa dini zao.

Haitasaidia kwetu kuchochea mifarakano kati yetu kwa kumfaidisha huyo anayetaka iwe hivyo.
 
Tuna mulewa sana 1.anataka tuwe donor country 2.Afrika ni matajiri 3.Uwe mzalendo wa kweli 4.Tuwe na chama kimoja cha siasa 5.Kiswahili kitumike duniani kote 6.Aina ya uchumi usio jali maendeleo ya mtu mmoja mmoja ''No Welfare Economy''.............just to mention a few
 
Wale baadhi ya watu ambao bado wanaojaribu kumtingisha Rais Magufuli wakidhani atabadilisha njia anayotumia katika utendaji kazi wake wananishangaza sana!

Wanaojaribu kumtingisha inawezekana hawamfahamu vizuri au wanamfahamu vizuri lakini wamejivika upumbavu!

Kwa wale wanamfahamu vizuri, siku alipotoa hii hotuba walijua vizuri nini kitafuata na nini cha kufanya!

Ukitaka kuisikia na kuisoma hotuba, GONGA HII LINK>>Magufuli: Tupo imara, atakayejaribu kutuyumbisha tutambomoa.

Baada ya Freeman Mbowe kutangaza oparesheni UKUTA mwezi Julai 2016, watu kama Edward Lowassa wanaomfahamu vizuri Rais Magufuli waliwashauri CHADEMA waachane na uamuzi huo.

Kuna baadhi ya watu kama Nape Nnauye walijaribu kumtingisha wakidhani atabadilika lakini baadaye wakashauriwa/wakajua habadilishi misimamo yake na wakaamua kufanya kile ambacho Waingereza kwenye methali hukisema, ‘’if you can’t beat them, join them’’.

Baadhi ya wale wanamfahamu vizuri Rais Magufuli ambao hawakubaliani na kile anachokifanya wameamua kujiunga naye au kukaa kimya kwa sababu wanajua hata wakipiga kelele hawawezi kumbadilisha katika misimamo yake.

Mwandishi mmoja wa Gazeti la Raia Mwema, Johnson Mbwambo aliwahi kuandika wakati wa Utawala wa Rais Kikwete, ‘’John Pombe Magufuli ni miongoni mwa mawaziri wachache katika Serikali ya Kikwete wanaochapa kazi. Yeye sheria ikishapitishwa husimama kidete kuitekeleza hadi nukta ya mwisho hata kama athari zake ni kubwa! Tena ataisimamia kwa ukali na vitisho’’.

Huwa nawashangaa sana baadhi ya watu waonapiga kelele za kisiasa wakidhani Rais Magufuli ataweza kubadilika! HAWEZI.

Nakumbuka Zitto Kabwe aliwahi pia kugusia kuhusu msimamo wa Rais Magufuli na serikali yake wakati akichangia kwenye bajeti kuu mwezi Juni 2019 ambapo alisema;
"Kuna mradi wa reli, hela za ununuzi wa ndege kwenye bajeti ya pili na tatu fedha zimeongezeka, ukiendelea mtiririko kwenye bajeti ya kwanza mpaka ya nne tunayoijadili, utaona kwamba Serikali imetatua tatizo la KUTOKUWA NA MSIMAMO kwa hiyo hii ni chanya kwa Serikali''.

Zitto aliendelea kusema, "Pamoja na sisi wapinzani tumekuwa tukiwakosoa lakini hii chanya, kwamba mtu anaona acha ni feli, lakini ngoja nifanye ninachokiamini, hili ni tofauti sana na Serikali iliyopita".
LINK>>Zitto Kabwe aipongeza Serikali kwa hili

Misimamo ya Rais Magufuli(ubishi na kusimamia anachokiamini) haiwezi kuwashangaza wale ambao wanajua tabia za Wasukuma. Ni kweli Rais Magufuli siyo Msukuma lakini kwa sababu amekulia katika mazingira ya Wasukuma ndio maana amechukua moja ya tabia ya Wasukuma!

Kama ukitaka kujua tabia halisi za Wasukuma (ubishi na kusimamia wanachokiamini) basi jaribu kufanya majadiliano na Nyani Ngabu, Kiranga na Pascal Mayalla ambao ni wana Jamiiforums! 😀😀😀
Kuna timamu anaweza kumwelewa kichaa?
 
Ni kweli ana msimamo na chuki ya wazi dhidi ya wapinzani na waislamu. Baadhi ya misimamo yake ni kuhakikisha anaua vyama vya upinzani kwa kutumia madaraka yake. Pia kwenye utawala wake waisilamu wana nafasi finyu. Angalia msimamo wake dhidi Assad muisilamu muadilifu mwenye msimamo katika usimamizi wa fedha za umma. Ameamua kumtoa mbali ya uadilifu wake, ameona bora ampe mkristo mzembe kwani kwake uislamu ni nongwa hasa ukiwa na msimamo, na weledi katika kazi. Misimamo hii iko wazi dhidi ya wapinzani na waisilamu, je katika mazingira hayo tutegemee Tanzania salama? Muda utaamua.
Siku zinavyozidi kusonga mbele ubongo wako unazidi kusinyaa. Jiangalie usijeokota makopo. Sasa udini unautoa wapi? Na unakusaidia Nini?
 
Atadhibitiwa tu!! Tunza hii comment kwenye faili la ubongo wako Tanzania ni zaidi ya uijuavyo Tanzania ni zaidi ya Magufuli.

Tulimpeleka Magufuli Ikulu ili apambane na ufisadi sio kukimbizana na wakina Mbowe matokeo yake anasamehe wezi na pesa wanazolipa hatujui zinaenda wapi amekuwa mpora nchi na mtu asiyefata haki za binadamu yeye ataondoka tu na Tanzania itabaki.
Ataondoka 2025 ofcoz. Ukiwaza otherwise, ni your wet dreams zako.
 
Boss Kalamu1 Boss wewe ndio mnafiki mwenyewe ninaowazungumzia, kichwani ni kusifia na kupamba tu bila HOJA.
Nionyeshe wapi nimekutaja mwanzo kabla ya hii msg??? !!! Mimi hata ukinidharau, unanilisha??? Unanijua??? Dua la Mwewe hilo ... Unajiita Kalamu hata Uandishi wenyewe ... haujui.

Nakushauri jikite kwenye Mada na lete HOJA zenye maana, unalishushia na mnalishushia hadhi Jukwaa.

Hapa ndipo ulipokosea na nikakudharau moja kwa moja.

Kama wewe ni mzoefu kwenye jukwaa hili usingenihusisha hata chembe na hayo uliyoandika hapo juu.
Maoni yangu niliyotoa kwenye bandiko kukujibu hapo juu yanazidi kudhihirika kuwa ni sahihi.
 
Hata hivyo magufuli anatawala nchi hii, sio kwa ridhaa yetu watanzania, hakustahili kuwa Rais baada ya kugalagazwa na Lowasa kwa kupata kura milioni 4 tu dhidi ya kura milioni 12 za Lowasa.
Alipindua nchi ndio maana anatuendesha kijambazi! kila kitu kina mwisho, ataondoka ataiacha nchi kama alivyoikuta.
Hoja yako sio ngeni kwa sababu tokea mfumo wa vyama vingi uanze, hakuna Uchaguzi Mkuu ambao tuliwahi kusikia wapinzani wote wakisema Rais ameshinda!

Ninakubaliana na wewe kuwa Rais Magufuli ataondoka lakini sikubaliani nawe kuwa ataiacha nchi kama alivyoikuta!
 
Back
Top Bottom