Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,507
- Thread starter
-
- #61
Ninakubaliana na angalizo lako kuhusu watendaji!Angalia figisu figisu zinazoendelea kwenye uchaguzi mdogo hapa nchini kila mtendaji amekuwa muoga kumpitisha mgombea wa upinzani.AMKA
Duh!. Huu sasa unataka kutuletea ukabila. Kama tumeelezwa rais Magufuli ni Msukuma, kitendo cha kusema kuwa Rais Magufuli ni kweli sio Msukuma, ni uchochezi. Ili huu usiwe uchochezi unaweza kuuweka wazi huo ukweli wako?
P
Siku zinavyozidi kusonga mbele ubongo wako unazidi kusinyaa. Jiangalie usijeokota makopo. Sasa udini unautoa wapi? Na unakusaidia Nini?
Naona ujumbe umefika na kueleweka.Boss Kalamu1 Boss wewe ndio mnafiki mwenyewe ninaowazungumzia, kichwani ni kusifia na kupamba tu bila HOJA.
Nionyeshe wapi nimekutaja mwanzo kabla ya hii msg??? !!! Mimi hata ukinidharau, unanilisha??? Unanijua??? Dua la Mwewe hilo ... Unajiita Kalamu hata Uandishi wenyewe ... haujui.
Nakushauri jikite kwenye Mada na lete HOJA zenye maana, unalishushia na mnalishushia hadhi Jukwaa.
Nakudharau kwa maandishi yako ya kipuuzi humu. Maandishi yako yote niliyoyasoma kwenye mada hii yanaonyesha wazi kuwa hustahiri heshima unayodhani unayo.Boss @Kalamu1 Tatizo lenu ndio hilo, mshanyweshwa maji ya Bendera, Jambo gani nimepindisha hapo??? Mimi sina Dhiki na Shida hiyo, Njano naiita Njano, Nyekundu naiita Nyekundu.
Magu anabadilika na muoga, angalia kikokotoo au maagizo aliowapa watendaji kukata wapinzani katika uchaguzi huu.Wale baadhi ya watu ambao bado wanaojaribu kumtingisha Rais Magufuli wakidhani atabadilisha njia anayotumia katika utendaji kazi wake wananishangaza sana!
Wanaojaribu kumtingisha inawezekana hawamfahamu vizuri au wanamfahamu vizuri lakini wamejivika upumbavu!
Kwa wale wanamfahamu vizuri, siku alipotoa hii hotuba walijua vizuri nini kitafuata na nini cha kufanya!
Ukitaka kuisikia na kuisoma hotuba, GONGA HII LINK>>Magufuli: Tupo imara, atakayejaribu kutuyumbisha tutambomoa.
Baada ya Freeman Mbowe kutangaza oparesheni UKUTA mwezi Julai 2016, watu kama Edward Lowassa wanaomfahamu vizuri Rais Magufuli waliwashauri CHADEMA waachane na uamuzi huo.
Kuna baadhi ya watu kama Nape Nnauye walijaribu kumtingisha wakidhani atabadilika lakini baadaye wakashauriwa/wakajua habadilishi misimamo yake na wakaamua kufanya kile ambacho Waingereza kwenye methali hukisema, ‘’if you can’t beat them, join them’’.
Baadhi ya wale wanamfahamu vizuri Rais Magufuli ambao hawakubaliani na kile anachokifanya wameamua kujiunga naye au kukaa kimya kwa sababu wanajua hata wakipiga kelele hawawezi kumbadilisha katika misimamo yake.
Mwandishi mmoja wa Gazeti la Raia Mwema, Johnson Mbwambo aliwahi kuandika wakati wa Utawala wa Rais Kikwete, ‘’John Pombe Magufuli ni miongoni mwa mawaziri wachache katika Serikali ya Kikwete wanaochapa kazi. Yeye sheria ikishapitishwa husimama kidete kuitekeleza hadi nukta ya mwisho hata kama athari zake ni kubwa! Tena ataisimamia kwa ukali na vitisho’’.
Huwa nawashangaa sana baadhi ya watu waonapiga kelele za kisiasa wakidhani Rais Magufuli ataweza kubadilika! HAWEZI.
Nakumbuka Zitto Kabwe aliwahi pia kugusia kuhusu msimamo wa Rais Magufuli na serikali yake wakati akichangia kwenye bajeti kuu mwezi Juni 2019 ambapo alisema;
"Kuna mradi wa reli, hela za ununuzi wa ndege kwenye bajeti ya pili na tatu fedha zimeongezeka, ukiendelea mtiririko kwenye bajeti ya kwanza mpaka ya nne tunayoijadili, utaona kwamba Serikali imetatua tatizo la KUTOKUWA NA MSIMAMO kwa hiyo hii ni chanya kwa Serikali''.
Zitto aliendelea kusema, "Pamoja na sisi wapinzani tumekuwa tukiwakosoa lakini hii chanya, kwamba mtu anaona acha ni feli, lakini ngoja nifanye ninachokiamini, hili ni tofauti sana na Serikali iliyopita".
LINK>>Zitto Kabwe aipongeza Serikali kwa hili
Misimamo ya Rais Magufuli(ubishi na kusimamia anachokiamini) haiwezi kuwashangaza wale ambao wanajua tabia za Wasukuma. Ni kweli Rais Magufuli siyo Msukuma lakini kwa sababu amekulia katika mazingira ya Wasukuma ndio maana amechukua moja ya tabia ya Wasukuma!
Kama ukitaka kujua tabia halisi za Wasukuma (ubishi na kusimamia wanachokiamini) basi jaribu kufanya majadiliano na Nyani Ngabu, Kiranga na Pascal Mayalla ambao ni wana Jamiiforums! 😀😀😀
Ahahahaha!Atadhibitiwa tu!! Tunza hii comment kwenye faili la ubongo wako Tanzania ni zaidi ya uijuavyo Tanzania ni zaidi ya Magufuli.
Tulimpeleka Magufuli Ikulu ili apambane na ufisadi sio kukimbizana na wakina Mbowe matokeo yake anasamehe wezi na pesa wanazolipa hatujui zinaenda wapi amekuwa mpora nchi na mtu asiyefata haki za binadamu yeye ataondoka tu na Tanzania itabaki.
umeongea kwa uhakika kabisa kwamba si msukuma mimi nilidhani alieanzisha hizi habari hizi alikuwa analenga kupunguza uungaji mkono wa wasukuma kwa magufuli kuwa si mwenzao sababu ya kufikiri hivi ni kuwa magufuli hakujiita msukuma kwa vile alikuwa maeteuliwa kugombea urais najua ni msukuma miaka yote tangu tangu akiwa mkemia wa chama cha ushirika cha Nyanza wala hakuwa anajua kuwa sikumoja atakuwa Rais ,unaweza nisahihisha kwa hiloMisimamo ya Rais Magufuli(ubishi na kusimamia anachokiamini) haiwezi kuwashangaza wale ambao wanajua tabia za Wasukuma. Ni kweli Rais Magufuli siyo Msukuma lakini kwa sababu amekulia katika mazingira ya Wasukuma ndio maana amechukua moja ya tabia ya Wasukuma!
Naona ujumbe umefika na kueleweka.
Basi tulia. usiwe unaparamia tu kujibishana na watu bila ya kujua misimamo yao ni ipi. Ungetumia muda kidogo tu kuangalia ninayoyaamini mimi na kuyaandika humu JF usingethubutu kuandika uliyoandika kunijibu hapa.
Nakudharau kwa maandishi yako ya kipuuzi humu. Maandishi yako yote niliyoyasoma kwenye mada hii yanaonyesha wazi kuwa hustahiri heshima unayodhani unayo.
Hujagusia yaliyompata Tundu LissuWale baadhi ya watu ambao bado wanaojaribu kumtingisha Rais Magufuli wakidhani atabadilisha njia anayotumia katika utendaji kazi wake wananishangaza sana!
Wanaojaribu kumtingisha inawezekana hawamfahamu vizuri au wanamfahamu vizuri lakini wamejivika upumbavu!
Kwa wale wanamfahamu vizuri, siku alipotoa hii hotuba walijua vizuri nini kitafuata na nini cha kufanya!
Ukitaka kuisikia na kuisoma hotuba, GONGA HII LINK>>Magufuli: Tupo imara, atakayejaribu kutuyumbisha tutambomoa.
Baada ya Freeman Mbowe kutangaza oparesheni UKUTA mwezi Julai 2016, watu kama Edward Lowassa wanaomfahamu vizuri Rais Magufuli waliwashauri CHADEMA waachane na uamuzi huo.
Kuna baadhi ya watu kama Nape Nnauye walijaribu kumtingisha wakidhani atabadilika lakini baadaye wakashauriwa/wakajua habadilishi misimamo yake na wakaamua kufanya kile ambacho Waingereza kwenye methali hukisema, ‘’if you can’t beat them, join them’’.
Baadhi ya wale wanamfahamu vizuri Rais Magufuli ambao hawakubaliani na kile anachokifanya wameamua kujiunga naye au kukaa kimya kwa sababu wanajua hata wakipiga kelele hawawezi kumbadilisha katika misimamo yake.
Mwandishi mmoja wa Gazeti la Raia Mwema, Johnson Mbwambo aliwahi kuandika wakati wa Utawala wa Rais Kikwete, ‘’John Pombe Magufuli ni miongoni mwa mawaziri wachache katika Serikali ya Kikwete wanaochapa kazi. Yeye sheria ikishapitishwa husimama kidete kuitekeleza hadi nukta ya mwisho hata kama athari zake ni kubwa! Tena ataisimamia kwa ukali na vitisho’’.
Huwa nawashangaa sana baadhi ya watu waonapiga kelele za kisiasa wakidhani Rais Magufuli ataweza kubadilika! HAWEZI.
Nakumbuka Zitto Kabwe aliwahi pia kugusia kuhusu msimamo wa Rais Magufuli na serikali yake wakati akichangia kwenye bajeti kuu mwezi Juni 2019 ambapo alisema;
"Kuna mradi wa reli, hela za ununuzi wa ndege kwenye bajeti ya pili na tatu fedha zimeongezeka, ukiendelea mtiririko kwenye bajeti ya kwanza mpaka ya nne tunayoijadili, utaona kwamba Serikali imetatua tatizo la KUTOKUWA NA MSIMAMO kwa hiyo hii ni chanya kwa Serikali''.
Zitto aliendelea kusema, "Pamoja na sisi wapinzani tumekuwa tukiwakosoa lakini hii chanya, kwamba mtu anaona acha ni feli, lakini ngoja nifanye ninachokiamini, hili ni tofauti sana na Serikali iliyopita".
LINK>>Zitto Kabwe aipongeza Serikali kwa hili
Misimamo ya Rais Magufuli(ubishi na kusimamia anachokiamini) haiwezi kuwashangaza wale ambao wanajua tabia za Wasukuma. Ni kweli Rais Magufuli siyo Msukuma lakini kwa sababu amekulia katika mazingira ya Wasukuma ndio maana amechukua moja ya tabia ya Wasukuma!
Kama ukitaka kujua tabia halisi za Wasukuma (ubishi na kusimamia wanachokiamini) basi jaribu kufanya majadiliano na Nyani Ngabu, Kiranga na Pascal Mayalla ambao ni wana Jamiiforums! 😀😀😀
Katika mistari minne tu unajichanganya, hivi kweli wewe unazo kichwani?Boss @Kalamu1 Pole zako sana, Naona unajaribu kunitoa kwenye mada, Tumetumia muda mwingi kujibizana kuliko kushauri na kutoa maoni ya kujenga Taifa. Nishakuambia na narudia tena, Unafiki wako na U Bendera fuata upepo wako ni kwa sababu ya kujali Tumbo lako tu, hauna lingine, hii ni Post yangu ya mwiko, kukupa KIKI usiyostahili. Unajiita Kalamu na sijaona Kalamu yoyote. Hoja hujibiwa kwa HOJA.