Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wewe umenona usoni unanisalimia mimi ambaye hata chai ya rangi sijaiona ili iweje yaani! Wewe endelea kuupiga mwingi na mama yako.Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.
sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,
Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.