Kuna baadhi ya watu ukiwasalimia hawaitikii salamu

Kuna baadhi ya watu ukiwasalimia hawaitikii salamu

Kuna mama mmoja nilimsalimia hakuitikia hila alinisikia kabisa toka hapo sijawahi msalimia hila cha ajabu alinigeuzia kibao anawaambia wenzake huyu mtoto anakiburi sana hasalimii anapita tu😂
Kitaa hapa kuna mama flani hivi ukimsalimia hajibu, au anajibu tofauti mfano
Shikamoo anakujibu nzuri za kazi
Au anakwambia za saizi unasema nzuri shikamoo anakaa kimya au anasema nzuri sijui shikamoo huwa haisikii😅😅😅
 
Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.

sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,

Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.
Hizo shikamoo mnaziendekeza za nini? Binafsi sipendi kabisa shikamoo acheni utumwa!
 
Hapa Mimi ninapoishi tuko watu zaidi ya nane hatusalimianagi miaka Sasa Kila mtu Yuko na mambo zake tukiongea labda ni bill za umeme na maji tu!
Mwanzoni nilikua nawasalimia wanapiga kimya na Mimi nikaamua kuwawekea wa mbuzi nampango wa kuhama hapa soon niamie kwangu tu

Hawa watu naishi nao kininja mno
 
Wanadada wengi wadogo , unakuta wa 2000 ila kwa hiyo minyama uzembe mara nyingi tu naishushia shkamoo ya nguvu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa minyama yao wewe inakukwaza kitu gani?!
Nyie vijeba muwe mnaitikia Shikamoo zetu, mambo ya ooh! Unataka kuninyima nini hatutaki kusikia
 
Hapa Mimi ninapoishi tuko watu zaidi ya nane hatusalimianagi miaka Sasa Kila mtu Yuko na mambo zake tukiongea labda ni bill za umeme na maji tu!
Mwanzoni nilikua nawasalimia wanapiga kimya na Mimi nikaamua kuwawekea wa mbuzi nampango wa kuhama hapa soon niamie kwangu tu

Hawa watu naishi nao kininja mno
Hongera mkuu kwa kufanikiwa kujenga nyumba yako
 
Kuna ambao wanajiskia (Dharau) kwa kuwa una status ya kawaida

Kuna ambao hawapendi kusalimiwa salimiwa

Kuna ambao hawasikii vizuri..na Wana matatizo binafsi (Hawataki shida).

Nimekutana Sana na watu wa dizaini hii ....hasa kundi la kwanza cha msingi tu fanya mambo yako Usitake kumpa attention asiekupa attention
Ila Kwa WA mama na wadada Fulani 33-40 hawapendi kuamkiwa Kwa sababu wanajiona wadogo na wanapenda kujidogosha ata kwenye maongezi yao unawagundua tu.
 
Tuambie unawasalimuaje?? Dada habari za leo, za asubuhi... Au unawaambia 'Shikamoo'? Ambayo maana yake ni 'niko chini ya miguu yako?? [emoji12]
Ila kusema shikamoo nikipengele sana

Ila Kunabaadhi ya maeneo usipo wasalimia Kwa neno shikamoo wewe unaitwa jeuri.

Kwa mara yakwanza nafika shule nakuta walimu wakujitolea(wakike na wakiume) wanasahihisha madaftari wanamihili midogodogo tu nikakwambia habari za jioni,doh! yule mwalimu wakiume akaniwakia balah "kwahiyo unazani sisi ni form six tunawasaidia walimu kusahihisha madaftari si ndivyo"nikaonekana Sina adabu lakini akutaka kunichapa ila yule wakike akawaanataka kunichapa lakini kaka yangu akanitetea maana yeye mwenyewe Huwa simuamkii na anajua sipendi kusema shikamoo isipo kuwa Kwa wazee wanaoeleweka
 
Tafuta hela acha kwenda usalimiasalimia hovyo,wanakuona unanjaa ndo maana hawana mda na salamu zako
 
Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.

sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,

Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.
Kwa mjini hilo ni kawaida kuna mzee nampa sana lift toka darajani mpka kkoo toka siku ya kwanza kanisimamisha akaniomba lift nilipompa salamu hakuitika. Niliendelea kumsalimia na yeye haitiki siku moja nikamuuliza mbona mzee wangu nakusalimia huitiki akaniambia salamu yako hainiongezei kitu cha msingi tujuliane hali za tulikotoka mambo yaende dah nilicheka ila nikamuelewa tu mzee wangu yule mpka leo nikimkuta darajani namwambia kwema mzee umeamkaje? Vipi familia watoto wazima akinijibu basi ndio salamu yetu hiyo.

Pia kuna mama kipindi nauza genge alikua akija namsalimia kwakua ni mtu mzima ila alikua haitiki siku moja akanitolea uvivu akaniambia unanisalimia siitiki haujistukii endelea kujizibia bahati nae ilibidi nicheke maana sikua na time nae na nikapunguza mazoea alikua akija anakopa nikaanza kumkataa simkopeshi mpka akahama genge
 
Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.

sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,

Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.
Hacha tabia za kujipendekeza kwa watu bhana raha ya salamu msalimiane sio kila siku wewe tu hata kama ataitikia kwanini kila siku umuanze?
 
Achaneni na shikamoo wengi hawazitaki salamu za aina hiyo.Ukiona haitikii wewe tune salamu nyingine kama mambo uncle? Uone kama hajachangamka.Masalamu yenu yanawazeesha watu hawataki kuzeeka mapema.Ova.
 
Back
Top Bottom