2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Kabinyau, minuno mpango mzima. 💯
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bimkubwa namsalimia kwa lugha yake, hata wazee nawaamkia kwa staha kwa kiswahili.Hata bi mkubwa humpi shkamoo?
Kitaa hapa kuna mama flani hivi ukimsalimia hajibu, au anajibu tofauti mfanoKuna mama mmoja nilimsalimia hakuitikia hila alinisikia kabisa toka hapo sijawahi msalimia hila cha ajabu alinigeuzia kibao anawaambia wenzake huyu mtoto anakiburi sana hasalimii anapita tu😂
Hizo shikamoo mnaziendekeza za nini? Binafsi sipendi kabisa shikamoo acheni utumwa!Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.
sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,
Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.
Wanadada wengi wadogo , unakuta wa 2000 ila kwa hiyo minyama uzembe mara nyingi tu naishushia shkamoo ya nguvu.
Hongera mkuu kwa kufanikiwa kujenga nyumba yakoHapa Mimi ninapoishi tuko watu zaidi ya nane hatusalimianagi miaka Sasa Kila mtu Yuko na mambo zake tukiongea labda ni bill za umeme na maji tu!
Mwanzoni nilikua nawasalimia wanapiga kimya na Mimi nikaamua kuwawekea wa mbuzi nampango wa kuhama hapa soon niamie kwangu tu
Hawa watu naishi nao kininja mno
Ivi kuwa kijeba nimiaka mingap kwani🤔[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa minyama yao wewe inakukwaza kitu gani?!
Nyie vijeba muwe mnaitikia Shikamoo zetu, mambo ya ooh! Unataka kuninyima nini hatutaki kusikia
Ila Kwa WA mama na wadada Fulani 33-40 hawapendi kuamkiwa Kwa sababu wanajiona wadogo na wanapenda kujidogosha ata kwenye maongezi yao unawagundua tu.Kuna ambao wanajiskia (Dharau) kwa kuwa una status ya kawaida
Kuna ambao hawapendi kusalimiwa salimiwa
Kuna ambao hawasikii vizuri..na Wana matatizo binafsi (Hawataki shida).
Nimekutana Sana na watu wa dizaini hii ....hasa kundi la kwanza cha msingi tu fanya mambo yako Usitake kumpa attention asiekupa attention
Ila kusema shikamoo nikipengele sanaTuambie unawasalimuaje?? Dada habari za leo, za asubuhi... Au unawaambia 'Shikamoo'? Ambayo maana yake ni 'niko chini ya miguu yako?? [emoji12]
[emoji851]sahihi kabisa mkuukwangu angeacha TV bondi... hela kwangu ni msala mzito
Tafuta hela acha kwenda usalimiasalimia hovyo,wanakuona unanjaa ndo maana hawana mda na salamu zakoIla kusema shikamoo nikipengele sana
Ila Kunabaadhi ya maeneo usipo wasalimia Kwa neno shikamoo wewe unaitwa jeuri.
Kwa mara yakwanza nafika shule nakuta walimu wakujitolea(wakike na wakiume) wanasahihisha madaftari wanamihili midogodogo tu nikakwambia habari za jioni,doh! yule mwalimu wakiume akaniwakia balah "kwahiyo unazani sisi ni form six tunawasaidia walimu kusahihisha madaftari si ndivyo"nikaonekana Sina adabu lakini akutaka kunichapa ila yule wakike akawaanataka kunichapa lakini kaka yangu akanitetea maana yeye mwenyewe Huwa simuamkii na anajua sipendi kusema shikamoo isipo kuwa Kwa wazee wanaoeleweka
Ili kuwa ni shule au ujasoma nilichoandika ila umekimbilia kukoment tu "tafuta Hela"na wapi umeona nimesema napenda kuamkia amkia?Tafuta hela acha kwenda usalimiasalimia hovyo,wanakuona unanjaa ndo maana hawana mda na salamu zako
Hapo ndiyo patam!Walaaa cjawah kumtaman mkuu ,ilaa nilimkulaa Ili awe na adabu na uwezo wakurudisha Ile Hela akuwa nao[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa mjini hilo ni kawaida kuna mzee nampa sana lift toka darajani mpka kkoo toka siku ya kwanza kanisimamisha akaniomba lift nilipompa salamu hakuitika. Niliendelea kumsalimia na yeye haitiki siku moja nikamuuliza mbona mzee wangu nakusalimia huitiki akaniambia salamu yako hainiongezei kitu cha msingi tujuliane hali za tulikotoka mambo yaende dah nilicheka ila nikamuelewa tu mzee wangu yule mpka leo nikimkuta darajani namwambia kwema mzee umeamkaje? Vipi familia watoto wazima akinijibu basi ndio salamu yetu hiyo.Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.
sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,
Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.
Hacha tabia za kujipendekeza kwa watu bhana raha ya salamu msalimiane sio kila siku wewe tu hata kama ataitikia kwanini kila siku umuanze?Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.
sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,
Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]Mimi nikimsalimia mtu mara moja na nina uhakika 100% ameniona na kunisikia lakini akakausha sisumbuki tena kumsalimia labda anianze yeye
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app