Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wewe umenona usoni unanisalimia mimi ambaye hata chai ya rangi sijaiona ili iweje yaani! Wewe endelea kuupiga mwingi na mama yako.Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.
sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,
Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.
Uko kama Mimi! Hata Mimi huwa sirudii tenaMimi nikimsalimia mtu mara moja na nina uhakika 100% ameniona na kunisikia lakini akakausha sisumbuki tena kumsalimia labda anianze yeye
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nakutakia uzee mwema kakamtu😁Uzee unakuja taratibu ila kwa uhakika mama
Njoo unizeeshe taratibu Dadamtu 🤣Nakutakia uzee mwema kakamtu😁
hila = ila.Kuna mama mmoja nilimsalimia hakuitikia hila alinisikia kabisa toka hapo sijawahi msalimia hila cha ajabu alinigeuzia kibao anawaambia wenzake huyu mtoto anakiburi sana hasalimii anapita tu[emoji23]
Jamani, Peugeot Kwa Peugeot zitavutana kweli?we inabidi upate ki imprezza kitakufaa🤣Njoo unizeeshe taratibu Dadamtu 🤣
✓✓vema!hila = ila.
NB:Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.
sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,
Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.
Wengine sio watu ni majiniUnamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.
sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,
Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.
Hii nimekutana nayo mara mbili kumbe walikuwa viziwi,sasa hivi mtu nikimsalimia hanijibu si conclude upesi.Wengine wana usikivu mdogo na huwa wanaogopa kusema, sio jambo la kuhitimisha kwamba kafanya maksudi
Hivyo vi imprezza havifai, hapa ni mwendo wa Peugeot kwa Peugeot tu Dadamtu 🤣Jamani, Peugeot Kwa Peugeot zitavutana kweli?we inabidi upate ki imprezza kitakufaa🤣
Wanapenda papuchi kuliko shkamoo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa minyama yao wewe inakukwaza kitu gani?!
Nyie vijeba muwe mnaitikia Shikamoo zetu, mambo ya ooh! Unataka kuninyima nini hatutaki kusikia
We nae mkoloni kama mjukuu wa Nyerere, yaani umewapiga wengine marufuku wasimsalimie jamani 🥴🥴🥴 LamomyKuna mmama mzee, nyumba kama ya tatu kutoka ninapoishi tulikuwa tunasalimiana freesh tu,ghafla akabadilika mara aitikie kama anaumwa ,mara nyingine asiitikie.Nilichofanya sasa hivi namuona kama jiwe napita tu na watu ninaoishi nao nimepiga marufuku kumsalimia.Anaongea ongea tu huko pembeni sina adabu.
🤣🤣🤣HatariHivyo vi imprezza havifai, hapa ni mwendo wa Peugeot kwa Peugeot tu Dadamtu 🤣
Nimekuelewa mkuuBinafsi salam ya shkamoo na marahaba sitoi wala sipendi kuzipokea. Mtu akiniamkia shkamoo nitapokea tu ili asijisikie vibaya ila huwa simwambii mtu shkamoo. Salam ya kishenzi sana...