Kuna baadhi ya wazazi wanaishi kwa siri na maumivu makubwa. Wanatamani wawaombe watoto wao msamaha lakini hawajui waanzeje

So Sad tena painful memory it comes pale unajikuta una mtoto/watoto the way unavowapa mapenzi ya dhati ambayo ukifikilia wewe uliyakosa kwa kuishia kula vipigo na manyanyaso bad enough mzazi badala ya kutengeneza bado anazidi kubomoa kwa kutoa dissapointment words and use time to complain instead of loving and inspire wanasahau mtoto kwa mzazi hakui we still need love from them no matter how older we are BUT what to do ndo wazazi wetu tena, SOMETIMES kuna muda unajiuliza au mimi ndo nina shida coz huhisi msukumo wowote ndani wa kumtafuta mzazi hata kumsalimia lakini jibu linakuja ni kutokana na kukosa BONDING of love since childhood, Mtoto wa kunzia miaka 3-4 anauwezo wa kukumbuka matukio ya maumivu pale napokuwa mkubwa so wazazi wajitahidi sana kuwaonesha watoto upendo wakiwa wadogo na hata akikosea jitahidi kutafuta njia sahihi ya kumrekebisha na si kumtesa kwa kusema unamkomaza Ts REALLY BAD.
 
Hii imenigusa mno mno baba na mama walitengana nikiwa miaka 6 tukatengana na mama mim na mdogo wangu Sasa tuko na miaka 30 sijuag upendo wa mama miaka yote yupo ni kuongea Kwa sim mara chache miaka hata miwil au mitatu tusimuone Sina Ile bond na mama Sina Ile feeling kwamba Kuna mtu anaitwa mama sijui mapenz ya mama yakoje yaan sijui kma Kuna mtu ananielewa Kwa Sasa mama akikutafuta nikukuambia shida za hela na sio kwamba Hana lahasha hakuna story yoyote zaid ya hela yaan naweza kaa hata wiki nisimkumbuke yaan hayupo Kwa akili yangu kabisa
 
Ni miaka 40 sasa sijaonana na mzee,najua alipo na tunawasiliana,siku ntakayonana nae ana kwa ana sidhani kama itakuwa siku yenye furaha, maana kuna maswali mengi sana ntataka anijibu.
Nahisi tutaishia kugombana ingawa sina nachohitaji kutoka kwake, nina hasira nae sana,kulelewa na mzazi mmoja wakati mzazi mwingine yupo inaumiza sana.
I will be like... " eeeh mzee ...what happened?".
Ntamuwashia moto asiponipa majibu ya kueleweka. Nina dukuduku sana, sipendi kumuuliza kwa njia ya simu nataka anijibu tukiwa tunaangaliana usoni.
 

Wala usimuulize chochote.
Haitabadili chochote.
Mpotezee Wala usimuwekee kinyongo
 
Laiti vijana wengi wangejua madhara makubwa kwa vizazi vyao, wangekuwa na nidhamu ya wapi wanapanda mbegu zao. Na wasingekubali kutawaliwa na tamaa za mwili

Shida inakuja kรปna mambo yapo out of their control
 
.Alichoamua jamaa ni kuwa na watoto na anaowasomesha vizuri tu na akaapa hatooa mke mwingine atafia umoumo kwenye ndoa yake.Ukimuuliza anasema kwake watoto wana thamani kubwa kuliko mateso anayoitoa.Kumbe watoto wengi wanateseka kwa sababu ya ubinafsi wa wazazi wao.๐Ÿฅบ๐Ÿค”๐Ÿ™‡๐Ÿฟโ€โ™‚
 
Mimi hata namba ya simu ya baba na mama Sina walitengana tokea nipo tumboni pia wanajua siwapendi. Ila wananiogopa sijui kwa nini?.
๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿ˜ช
 
Kitu ambacho hujui Watz na Wafrkka hawajali kitu chochote kuhusu hilo.
 
Ntamuwashia moto asiponipa majibu ya kueleweka. Nina dukuduku sana, sipendi kumuuliza kwa njia ya simu nataka anijibu tukiwa tunaangaliana usoni.๐Ÿค”๐Ÿฅบ
 
Ofcourse Watoto wanalipa gharama ya Starehe za wazazi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ