Wahi kamsalimie kabla hajanyamaza ukajilaumu!!Ni miaka 40 sasa sijaonana na mzee,najua alipo na tunawasiliana,siku ntakayonana nae ana kwa ana sidhani kama itakuwa siku yenye furaha, maana kuna maswali mengi sana ntataka anijibu.
Nahisi tutaishia kugombana ingawa sina nachohitaji kutoka kwake, nina hasira nae sana,kulelewa na mzazi mmoja wakati mzazi mwingine yupo inaumiza sana.
I will be like... " eeeh mzee ...what happened?".
Ntamuwashia moto asiponipa majibu ya kueleweka. Nina dukuduku sana, sipendi kumuuliza kwa njia ya simu nataka anijibu tukiwa tunaangaliana usoni.
Achana naye huyo mzee wako ajifie tu apoteee hana maana.Ni miaka 40 sasa sijaonana na mzee,najua alipo na tunawasiliana,siku ntakayonana nae ana kwa ana sidhani kama itakuwa siku yenye furaha, maana kuna maswali mengi sana ntataka anijibu.
Nahisi tutaishia kugombana ingawa sina nachohitaji kutoka kwake, nina hasira nae sana,kulelewa na mzazi mmoja wakati mzazi mwingine yupo inaumiza sana.
I will be like... " eeeh mzee ...what happened?".
Ntamuwashia moto asiponipa majibu ya kueleweka. Nina dukuduku sana, sipendi kumuuliza kwa njia ya simu nataka anijibu tukiwa tunaangaliana usoni.
Ni za wale waliotelekezwa sio waliotelekezaSidhani maana hapa tu tayari kuna shuhuda zilizojaa maumivu mengi
Tena akina Mama wakishaona umezaa naye anataka akupelekeshe kwa kuwa una watoto ananWahi kamsalimie kabla hajanyamaza ukajilaumu!!
Usiishie kulaumu wazee kina mama wanazingua sana haha maisha!!
Mkuu Mshana Jr ulichoandika hapa ni ukweli kabisa, Mimi ni Mhanga kabisa, na ilitokea kwa Wazazi wangu wote. Mzazi wa kiume mpaka leo huwa hata kupokea simu yangu no ngumu kwa sababu ya mambo ya kuvunja moyo aliyonifanyia miaka 16 iliyopita na kwa uwezo wa Mungu nili survive na yeye akaishia kuaibika tu, na hata tukikutana huwa ananiogopa sana na kutetemeka ule ujasiri mpaka sasa hana.Ni mpaka uishi hayo maisha ndio unaweza kupata hisia halisi za hii mada
Hapa nazungumzia wale wazazi kwa sababu zozote zile waliwatelekeza watoto wao udogoni na kuja kuonana nao ukubwani
Hapa nazungumzia wale wazazi ambao walitengena kwa sababu zozote zile na watoto kulelewa na mzazi mmoja ama mzazi wa kufikia.. Mzazi wa kambo
Kuna unafuu kidogo kama huyo mtoto/watoto huko wanakolelewa wakapata mapenzi kama ya mzazi halisi.. Kuna wachache wana hiyo bahati.. Wengi wameambulia mateso, masimango na shida za kila aina
Kuna wazazi wa kike walipata ujauzito wakiwa shuleni..wakaacha masomo na kulea mimba na hatimaye kujifungua salama.. Baadhi walitaka kurudi na kuendelea na masomo hivyo kuwaachia ndugu zao walee mtoto ...maranyingi ni mama dada au shangazi
Makuzi ya mtoto katika umri wa awali ni muhimu sana kupata mapenzi ya wazazi wote wawili.. Mmoja ama wote wakiyumba mapenzi hayo huhamishiwa kwa walezi wanaowalea
Kuna wazazi ambao walitengena wakiwa kwenye ndoa na watoto na baada ya hapo wakapata wenza wapya! Hapo watoto wanaenda kuanza maisha mapya mageni kwa mama/baba wa kufikia
Kuna tofauti kubwa sana kati mzazi halisi na mzazi wa kufikia.. Daima kuna kitu kitapungua
Kuna baadhi ya wazazi ambao walipata watoto kabla ya ndoa na sasa wakapata watu wa ndoa, hapo wengi waliwaacha watoto kwa ndugu ili wao wakajenge ndoa zao
Kuna wazazi waliwatelekeza watoto kwa ndugu na wao kupotea kwenda kutafuta maisha
Scenario ni nyingi lakini mwisho wa siku watoto huwa wakubwa na kuja kukutana na wazazi wao halisi(kwa wale wenye bahati hiyo)
Hapo watoto huwa na maswali mengi sana ambayo wengi huwa hawayaulizi.. Na wazazi nao huwa na maelezo mengi sana lakini hawajui waanzie wapi
Ukaribu kati ya wawili hawa huwa hauna strong bonds.. Matokeo yake ni watoto kuwa na vinyongo na wazazi wao.. Huku wazazi wakiwa na maumivu ya ndani, wakitamani wajieleze na kuomba msamaha lakini hawajui waanzie wapi
Zile nyakati za shule wakati watoto wakifuatwa na wazazi wao
Zile nyakati za shule watoto wanaposimuliana furaha za nyumbani na wazazi wao.. Kuna ambao hawana cha kusimulia na hubaki na maumivu na maswali mengi.. Huku nao wakitamani wangekuwa na wazazi wao..
Ni afadhali waambie wajue kwamba wazazi wamekufa kuliko waambiwe wapo Hai
Mifano ni mingi hata hapa JF..!
Pole sana mkuu ukawaje ukapigwa na pande zote mbili? Ulikuwa mkorofi sana?Mkuu Mshana Jr ulichoandika hapa ni ukweli kabisa, Mimi ni Mhanga kabisa, na ilitokea kwa Wazazi wangu wote. Mzazi wa kiume mpaka leo huwa hata kupokea simu yangu no ngumu kwa sababu ya mambo ya kuvunja moyo aliyonifanyia miaka 16 iliyopita na kwa uwezo wa Mungu nili survive na yeye akaishia kuaibika tu, na hata tukikutana huwa ananiogopa sana na kutetemeka ule ujasiri mpaka sasa hana. Mama naye alinifanyia mambo mabaya sana lakini alikuja kugundua kile alichokuwa ananifanyia sio sahihi aliniomba sana msamaha na kwa moyo mweupe kabisa nikamsamehe, sasa katika kuendelea na maisha ya kila siku huwa napata kujua kwanini alikuwa ananifanyia vile, na Mimi huwa namwambia kwa uthabiti na kwa hisia sana anaishia kuhuzunika na kulia sana ingawa nilishamsamehe kwa dhati. Lakini bado anajiona na hatia sana. Sasa kwa upande mwingine na Mimi huwa naumia sana sijui hili linakuwaje Mkuu ?
Nilishawahi kuandika uzi kwa baadhi ya matukio yaliyonikuta na familia yangu.
Huwa najitahidi sana kufanya na kuonyesha sina kinyongo na Mama kwa sababu sote tunaishi Jijini. Lakini yeye ndiye anajutia sana vile ninavyomuonesha kumjali.
But anadhani labda kama namfanyia maigizo sijui nafanyaje kumfanya ahisi kama sina kinyongo naye.
🤣🤣🤣Pole sana mkuu ukawaje ukapigwa na pande zote mbili? Ulikuwa mkorofi sana?
Nguvu ya maombi na msamaha mkuu ni kubwa sanaMkuu Mshana Jr ulichoandika hapa ni ukweli kabisa, Mimi ni Mhanga kabisa, na ilitokea kwa Wazazi wangu wote. Mzazi wa kiume mpaka leo huwa hata kupokea simu yangu no ngumu kwa sababu ya mambo ya kuvunja moyo aliyonifanyia miaka 16 iliyopita na kwa uwezo wa Mungu nili survive na yeye akaishia kuaibika tu, na hata tukikutana huwa ananiogopa sana na kutetemeka ule ujasiri mpaka sasa hana.
Mama naye alinifanyia mambo mabaya sana lakini alikuja kugundua kile alichokuwa ananifanyia sio sahihi aliniomba sana msamaha na kwa moyo mweupe kabisa nikamsamehe, sasa katika kuendelea na maisha ya kila siku huwa napata kujua kwanini alikuwa ananifanyia vile, na Mimi huwa namwambia kwa uthabiti na kwa hisia sana anaishia kuhuzunika na kulia sana ingawa nilishamsamehe kwa dhati. Lakini bado anajiona na hatia sana. Sasa kwa upande mwingine na Mimi huwa naumia sana sijui hili linakuwaje Mkuu ?
Nilishawahi kuandika uzi kwa baadhi ya matukio yaliyonikuta na familia yangu.
Huwa najitahidi sana kufanya na kuonyesha sina kinyongo na Mama kwa sababu sote tunaishi Jijini. Lakini yeye ndiye anajutia sana vile ninavyomuonesha kumjali.
But anadhani labda kama namfanyia maigizo sijui nafanyaje kumfanya ahisi kama sina kinyongo naye.
🙏😅😅😅Nguvu ya maombi na msamaha mkuu ni kubwa sana
View attachment 3128965
Mkuu nimevutiwa kuijua hata kidogo alikua anakufanyia nn bi mkubwa wakoMkuu Mshana Jr ulichoandika hapa ni ukweli kabisa, Mimi ni Mhanga kabisa, na ilitokea kwa Wazazi wangu wote. Mzazi wa kiume mpaka leo huwa hata kupokea simu yangu no ngumu kwa sababu ya mambo ya kuvunja moyo aliyonifanyia miaka 16 iliyopita na kwa uwezo wa Mungu nili survive na yeye akaishia kuaibika tu, na hata tukikutana huwa ananiogopa sana na kutetemeka ule ujasiri mpaka sasa hana.
Mama naye alinifanyia mambo mabaya sana lakini alikuja kugundua kile alichokuwa ananifanyia sio sahihi aliniomba sana msamaha na kwa moyo mweupe kabisa nikamsamehe, sasa katika kuendelea na maisha ya kila siku huwa napata kujua kwanini alikuwa ananifanyia vile, na Mimi huwa namwambia kwa uthabiti na kwa hisia sana anaishia kuhuzunika na kulia sana ingawa nilishamsamehe kwa dhati. Lakini bado anajiona na hatia sana. Sasa kwa upande mwingine na Mimi huwa naumia sana sijui hili linakuwaje Mkuu ?
Nilishawahi kuandika uzi kwa baadhi ya matukio yaliyonikuta na familia yangu.
Huwa najitahidi sana kufanya na kuonyesha sina kinyongo na Mama kwa sababu sote tunaishi Jijini. Lakini yeye ndiye anajutia sana vile ninavyomuonesha kumjali.
But anadhani labda kama namfanyia maigizo sijui nafanyaje kumfanya ahisi kama sina kinyongo naye.
Thank you, let me join the ThreadBush Dokta
Mshana Jr
Pitieni hapo kwenye huu uzi mtaona na kama mna uwezo wa kuangalia mambo kwa jicho la tatu mtaona how hardly I survived to gain the momentum mpaka kufikia hapa nilipo leo
Thread 'Maisha sio kulalamika, ni kupambana tu...' https://www.jamiiforums.com/threads/maisha-sio-kulalamika-ni-kupambana-tu.2108610/
Baya lolote lile unalolijua Mkuu nilifanyiwa soma hapo juu post #54 itakupeleka kwenye link ya uzi niliouandika mwaka 2018Mkuu nimevutiwa kuijua hata kidogo alikua anakufanyia nn bi mkubwa wako
Naomba niisome kwa utulivu mzuri usiku wa leo nikitoka meditationBush Dokta
Mshana Jr
Pitieni hapo kwenye huu uzi mtaona na kama mna uwezo wa kuangalia mambo kwa jicho la tatu mtaona how hardly I survived to gain the momentum mpaka kufikia hapa nilipo leo
Thread 'Maisha sio kulalamika, ni kupambana tu...' https://www.jamiiforums.com/threads/maisha-sio-kulalamika-ni-kupambana-tu.2108610/
Post # 18 kwenye huu uzi ni ya jamaa niliyesoma naye Primary mpaka Sekondari tukaja kuachana baadaye lakini bado baadae tukakutane tena kwenye mizunguko na maisha yangu yalivyokuwa sio maigizo.
Aisee Mkuu natamani kuonana na Wewe still na face some trials nashukuru kuna dogo alinipa namba yako naweza kukucheki next week kuna mambo fulani naweza nikapata connection ili kufanikishaNaomba niisome kwa utulivu mzuri usiku wa leo nikitoka meditation