Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa😎Msemaji wa DART hakuwepo eneo la tukio na Dereva wao alikimbia hakusimama sababu anajua alifanya makosa. Unawezaje kupata taarifa ikiwa gari haikuzuiliwa.
Hivi lakini tuweni serious hivi mtu unavaa earpods kwenye msongamano ili iwe nini? Kwa kelele jua na joto hili, foleni na wavuta bangi kupewa leseni tujiandae kufa sanaUbaya magari ya mwendokasi hayana makelele yanakua kama yanakunyemelea vile. Na hizi stress na jua la bongo ikatokea liko nyuma yako huwezi sikia. Kama unajifanya umevaa ear pods na limepita njia siyo yake ndiyo kabisa
Lilinikosa Posta na hapo Urafiki. Yalikua kwenye njia zake ila mimi katika kuvuka barabara ndiyo moto ukataka kuwaka
Angalau wewe umejisemea Ukweli, wengi hapa JF uongo mtupu. Uangalifu wakati wa kuvuka Barabara ni shida hapa mjini. Imagine mtu anaamini Zebra siku hizi! Wakati wa JPM sawa ila sasa wakati wa mama, kuamini zebra ni kukitafuta kifoUbaya magari ya mwendokasi hayana makelele yanakua kama yanakunyemelea vile. Na hizi stress na jua la bongo ikatokea liko nyuma yako huwezi sikia. Kama unajifanya umevaa ear pods na limepita njia siyo yake ndiyo kabisa
Lilinikosa Posta na hapo Urafiki. Yalikua kwenye njia zake ila mimi katika kuvuka barabara ndiyo moto ukataka kuwaka
Juzi jzi pale magomeni mataa mapipa,ilimgawanyisha boda kiwiliwili,mwili wa boda ukawekwa kwenye Kiribati kupelekwa mwananyamalaMabasi ya mwendakasi,gari za serikali,gari za ccm ujiona kama wapo kwenye F1 wakati miundo mbinu yenyewe iwezi kuwa rafiki kwa usalama
Na ile likikugonga kwenye njiaa yake hakuna kesi 😄Ubaya magari ya mwendokasi hayana makelele yanakua kama yanakunyemelea vile. Na hizi stress na jua la bongo ikatokea liko nyuma yako huwezi sikia. Kama unajifanya umevaa ear pods na limepita njia siyo yake ndiyo kabisa
Lilinikosa Posta na hapo Urafiki. Yalikua kwenye njia zake ila mimi katika kuvuka barabara ndiyo moto ukataka kuwaka
😄Angalau wewe umejisemea Ukweli, wengi hapa JF uongo mtupu. Uangalifu wakati wa kuvuka Barabara ni shida hapa mjini. Imagine mtu anaamini Zebra siku hizi! Wakati wa JPM sawa ila sasa wakati wa mama, kuamini zebra ni kukitafuta kifo
Huyo aliekanusha hana utu hata kidogo,na siku izi mwendokasi wanavunja sheria za barabarani, na mamlaka ziko kimya, watu wanakufa kila kukicha.Sasa mbona msemaji wa DART amekanusha, tumuamini nani?
Uligemea aseme nikweli ??Sasa mbona msemaji wa DART amekanusha, tumuamini nani?
Hiyo ndiyo ishamalizwaHuyo aliekanusha hana utu hata kidogo,na siku izi mwendokasi wanavunja sheria za barabarani, na mamlaka ziko kimya, watu wanakufa kila kukicha.
Iyo ajali hata mimi nimeishuhudia kwa macho yangu, Mwendokasi kamgonga mtu aliyekuwa kwenye upande wake sahihi.
Mwendokasi lilikuwa lane ambayo sio ya upande wake.
Jamaa mpaka wanampandisha kwenye gari alikuwa bado anapumua kwa mbaali, lakini kwa muonekano wa majeraha ilikuwa ngumu kupona,
Inauma sana, Watanzia hattaminiani kabisa, kupoteza maisha ya mwenzetu tunaona kawaida.Hiyo ndiyo ishamalizwa
Mkuu boda wamezidi hiyo kwao kawaida niliwahi isema humu nikaonekana mjinga , jamaa wanaacha nji.a sahihi hivyo ni vyema kucheck pande zote mimi nilisikia tu shati inagongwa KUCHEKI hivi kumbe boda kicha kapita kwa Kasi niloshukuru Mungu tuMwendokasi zamani walikua wanaheshimu hizo zebra, siku hizi wanapita kishada.
Na watembea kwa miguu ni vizuri kuangalia pande zote, juzikati boda ilinikosa kwa hilo la kuamini gari zinatokea uapnde huu tu, kumbe kuna mwehu anapiaha na wenzie.
Na hapo wanajua hakuna ushahidi wa video, washamaliza kesiInauma sana, Watanzia hattaminiani kabisa, kupoteza maisha ya mwenzetu tunaona kawaida.
Utu wetu hauna thamani kabisa tofauti na utu kwa mataifa mengine.
Hivi viongozi wa taasisi kama hawa, pumzi za kukanusha kipumbafpumbaf huwa wanazitoa wapi na ni kwa faida ya nani?Habari, huku Mtaani kwetu kuna jamaa amefariki baada ya kupata ajali ya kugonjwa na basi la Mwendokasi jioni mida ya saa moja, Machi 8, 2025.
Mashuhuda wanasema kuwa kuna Basi la Mwendokasi ambalo lilikuwa linapita njia ambayo siyo ya kwake, ilikuwa ikitokea Ubungo kwenda Kimara lakini ikapita katika njia ya kutokea Kimara kwenda Ubungo.
Hivyo, jamaa wakati anavuka alikuwa ameelekeza macho upande mwingine, bahati mbaya ni kuwa basi hilo likamgonga kwa kuwa lilikuwa katika nia iliyokuwa yake na halikusimama baada ya hapo.
Marehemu alikuwa ni Dalali, zamani alikuwa muuza chipi mitaa ya Korogwe anafahamika kwa jina moja la Daniel, alibebwa na wenzake akapelekwa Hospitali ya Mwananyamala ambapo mwili wake upo huko mpaka sasa.
Wenyeji wa Kimara wanamjua na vizuri na wengi tupo hapa kwenye msiba mpaka muda huu naandika andiko hili.
Huyu mtu ni mwenyeji wa Singida lakini aliondoka kwao miaka mingi, hivyo ndugu zake wengi hawajulikani kiivyo, lakini msiba kwa sasa upo hapa Kimara Korogwe, kinachoendelea ni michango ili kukamilisha mchakato wa kufanikisha kumzika.
Ukifika Korogwe Baa au kwa Pati napo ndipo msiba ulipo, kwa anayehitaji kufika karibuni.
Kinachosikitisha ni kuwa Mwendokasi hawajatoa tamko lolote na wanaweza kukaa kwa kuwa basi lenyewe halikusimama.
Tunaomba Uongozi wa Mabasi ya Mwendokasi mje mtoe hata rambirambi, kama nikivyoeleza msiba upo hapa Korogwe Baa au mnaweza kuulizia Kwa Pati.
DART WASEMA SIO KWELIJamiiForums imewasiliana na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kupitia kwa Ofisa wa Kitengo cha Habari DART, Elias Malima, awali alisema anafuatilia baada ya kupewa taarifa hiyo.
Baadaye akarejea na kusema “Nimefuatilia taatifa hizo sio za kweli, hakuna popote ambapo imeripotiwa juu ya tukio hilo na wakati huu ambapo kuna watu wengi wnaweza kuripoti ingekuwa imeshajulikana tu.
“Huku kwetu hatuna ripoti ya aina hiyo, pia suala la kusema basi lilikuwa linapita njia ambayo siyo yake sijawahi kusikia.”

Hili kwangu ni habari ngeni!Toka Madereva wa mwendokasi wawe wajeda, ajali kila siku.
Wanajiona wako juu ya sheria, aaaah [emoji22][emoji22][emoji22]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Hawawezi kukubali hao wanaotoa hizi taarifa ni mashuhuda wewe kwasababu unaamin siasa unaenda kusikiliza wanasiasa wenzako, ndugu yangu aligongwa Magomeni akaambiwa maelezo aandike kagongwa na NOAH na sio MwendokasSasa mbona msemaji wa DART amekanusha, tumuamini nani?