Kuna bia za kike na za kiume?

Huku mwanza kuna banana za pawa na ndume a.k.a myumbo wa kutosha, kuna jamaa yangu ni mwanajeshi tabora msange huwa namtumia yaani nanunua kreti kama nne za pawa afu nafungua chupa zote na kisha nazimimina kwenye chupa la maji la Kilimanjaro yale ya litre 18 kisha namtumia kwenye basi.Anasema banana pawa ni nzuri sana maana zinalewesha haraka na hazina hangover na zaidi haziathiri figo na maini.MAUA YAO WAPEWE WAZALISHAJI WA BANANA ZA PAWA NA NDUME ZA MWANZA
 
Walevi msiache pombe mkiacha huku mtaani tutakosa watu wa kuwadharau
 
Jaribu af Fanya uwezalo niwe karibu yako
Bro nimetumia several times mpaka now sinywi hizo vitu now just nikiwa na budget napiga zangu Mabinamu wanne (four cousins) basi maisha yanaenda
 
Bro nimetumia several times mpaka now sinywi hizo vitu now just nikiwa na budget napiga zangu Mabinamu wanne (four cousins) basi maisha yanaenda
Mbona nikiwanunulia mademu Huwa wanasumbua tukalale ati wana hamu na fc libolo
 
Ongezea Desperado hapo kwenye hiyo list.
 
Mimi hiwa nashangaa kuona mwanaume anakunywa safari.

Mwanaume unataliwa utumie pombe kali. Haya mabia waachieni akina dada.
 
Jiulize kwa nini mwanamke kwa siku anatakiwa anywe bia moja ila mwanaume mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…