Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Nakuelewa Kuna muda nili kuwa nakula mlo 1 kwa siku, Tena saa 11 au 1 jioni.Dah mimi siwezi kabisa nahisi nimezoesha tumbo langu hivyo.
sio kwamba sikuwa na hela nope, ila mambo ni mengi.
una amka saa 11 kuja kushituka saa 6, una sema ngoja ifike saa 10.
una kuja kugundua ni saa 1, ukila ni kulala mida hiyo hiyo.