Kuna binadamu wanakula jamani, nani aliwahi kukushangaza kwenye sekta ya misosi?

Mimi ni wanangu wa kiume wana miaka kati ya 17 na 19, hua wanaamka asubuhi na kuweka wali kwenye rice cooker kwa sababu wakila vitafunio kama mikate hawashibi.

Wanaanza na chai na kitafunio kama starter, halafu wanakula wali wao na mboga watakayokua wamejipikia, Kwa wiki tunamaliza kilo 40 za mchele. Wakiwa wanakula ni kama vita wakimaliza wamelowa jasho na cha kushangaza hawanenepi, ukiwaona huwezi kuamini kiasi cha msosi wanachokula.

Uzuri wote wanapenda kupika na wanajifunza mapishi mapya for fun ili wajifaidie. Kama wazazi tunawasapoti tu hela tu za matumizi wanaenda kuhemea vitu vyao wenyewe.

Niliacha kuwapikia walioifikisha miaka 12 nikahakikisha nimewafundisha basics na kuwanunulia vifaa vya kuwarahisishia mapishi ili wajipikie wenyewe maana sikuweza kukeep up na spidi yao.

Wewe ni nani ambaye unamvulia kofia kwenye hiyo sekta?

View attachment 3239244

View attachment 3239243
@fyalafyala
 
Kuna mwamba alikula embe 50.
Huyu huyu mwamba alikula sahani 25 za chipsi na kuku wazima 5 na majagi 2 ya juice.

Kuna mwengine alikula chapati 30 na chupa moja ya chai.

Wakati Mimi chapati 2 tu kuhema kwa tabu kuna viumbe hatari sana🤣🤣
 
Kuna shehena iliwekwa kwenye sahani ya dogo mmoja hivi, mimi simalizi hata nusu yake na alikuwa na Mirinda nyeusi 2 nikasema ukisikia nakuja dar kukusalimia jipange vizuri , funny enough alibeua alipomaliza soda ya kwanza 😅😂
 
Mimi ni wanangu wa kiume wana miaka kati ya 17 na 19, hua wanaamka asubuhi na kuweka wali kwenye rice cooker kwa sababu wakila vitafunio kama mikate hawashibi.

Wanaanza na chai na kitafunio kama starter, halafu wanakula wali wao na mboga watakayokua wamejipikia, Kwa wiki tunamaliza kilo 40 za mchele. Wakiwa wanakula ni kama vita wakimaliza wamelowa jasho na cha kushangaza hawanenepi, ukiwaona huwezi kuamini kiasi cha msosi wanachokula.

Uzuri wote wanapenda kupika na wanajifunza mapishi mapya for fun ili wajifaidie. Kama wazazi tunawasapoti tu hela tu za matumizi wanaenda kuhemea vitu vyao wenyewe.

Niliacha kuwapikia walioifikisha miaka 12 nikahakikisha nimewafundisha basics na kuwanunulia vifaa vya kuwarahisishia mapishi ili wajipikie wenyewe maana sikuweza kukeep up na spidi yao.

Wewe ni nani ambaye unamvulia kofia kwenye hiyo sekta?

View attachment 3239244

View attachment 3239243
Where is Theresa49
 
Back
Top Bottom