Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
HayaWanafanya sports na wapo active sana, sidhani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HayaWanafanya sports na wapo active sana, sidhani!
@fyalafyalaMimi ni wanangu wa kiume wana miaka kati ya 17 na 19, hua wanaamka asubuhi na kuweka wali kwenye rice cooker kwa sababu wakila vitafunio kama mikate hawashibi.
Wanaanza na chai na kitafunio kama starter, halafu wanakula wali wao na mboga watakayokua wamejipikia, Kwa wiki tunamaliza kilo 40 za mchele. Wakiwa wanakula ni kama vita wakimaliza wamelowa jasho na cha kushangaza hawanenepi, ukiwaona huwezi kuamini kiasi cha msosi wanachokula.
Uzuri wote wanapenda kupika na wanajifunza mapishi mapya for fun ili wajifaidie. Kama wazazi tunawasapoti tu hela tu za matumizi wanaenda kuhemea vitu vyao wenyewe.
Niliacha kuwapikia walioifikisha miaka 12 nikahakikisha nimewafundisha basics na kuwanunulia vifaa vya kuwarahisishia mapishi ili wajipikie wenyewe maana sikuweza kukeep up na spidi yao.
Wewe ni nani ambaye unamvulia kofia kwenye hiyo sekta?
View attachment 3239244
View attachment 3239243
😃😃Mimi pia napenda kula chips Kuku 😜
Wape shamba walimeKazi yao ngumu ni kutufilisi tu 😂😂
HakikaWakianza kutumia hela walizozipata kwa jasho lao kununulia misosi wataacha.
Where is Theresa49Mimi ni wanangu wa kiume wana miaka kati ya 17 na 19, hua wanaamka asubuhi na kuweka wali kwenye rice cooker kwa sababu wakila vitafunio kama mikate hawashibi.
Wanaanza na chai na kitafunio kama starter, halafu wanakula wali wao na mboga watakayokua wamejipikia, Kwa wiki tunamaliza kilo 40 za mchele. Wakiwa wanakula ni kama vita wakimaliza wamelowa jasho na cha kushangaza hawanenepi, ukiwaona huwezi kuamini kiasi cha msosi wanachokula.
Uzuri wote wanapenda kupika na wanajifunza mapishi mapya for fun ili wajifaidie. Kama wazazi tunawasapoti tu hela tu za matumizi wanaenda kuhemea vitu vyao wenyewe.
Niliacha kuwapikia walioifikisha miaka 12 nikahakikisha nimewafundisha basics na kuwanunulia vifaa vya kuwarahisishia mapishi ili wajipikie wenyewe maana sikuweza kukeep up na spidi yao.
Wewe ni nani ambaye unamvulia kofia kwenye hiyo sekta?
View attachment 3239244
View attachment 3239243
Dead and gone 🤣😂Where is Theresa49
Where and when is she being buriedDead and gone 🤣😂
Unakula sahani ngapi za kiepe yai mai?Mimi mwenyewe mkuu🥴
Wanakula na vyakula vingine, viazi, maharage, samaki na nyama. Tatizo siku nyingine wanakuja na rafiki zao na wanajipikia pamoja 😂Yaan kilo 40 ya mchele inaisha wiki???wanashindia wali hawali chakula kingine
Chips yai na Kuku 😅Chips yai au kavu 😅
Hakuna hata Obituary 😂😂😂Dead and gone 🤣😂