Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Nakuelewa Kuna muda nili kuwa nakula mlo 1 kwa siku, Tena saa 11 au 1 jioni.Dah mimi siwezi kabisa nahisi nimezoesha tumbo langu hivyo.
Kweli, unesema vyema.Duuh! Hao wanao ni hatari. Lol
Japo nikiwa kama mzazi pia nakushauri hao wanao walee kwa kuwajengea kwamba kuna leo na kesho nikimaanisha si kila wanachofanya sasa basi uwaache tu sababu unao uwezo wa kuwatimizia.
Kilo 40 za mchele nyingi eti kwa wiki.
Duuh hizo ni kali kuliko 😅kuna msukuma aliwahi kula elfuu 30 yangu baada ya kumaliza kisado kimoja cha uji na chapati 35 muda wa mapumziko. cha ajabu na mchana pia nikamuona kwenye foleni muda wa lunch.
kuna mwingine alikula elfu 25 yangu baada ya kunifutia kreti moja ya soda non stop
Ila kiafya pia ni vizuri sana hauwezi kuwa na uzito wa kijinga jinga.Nakuelewa Kuna muda nili kuwa nakula mlo 1 kwa siku, Tena saa 11 au 1 jioni.
sio kwamba sikuwa na hela nope, ila mambo ni mengi.
una amka saa 11 kuja kushituka saa 6, una sema ngoja ifike saa 10.
una kuja kugundua ni saa 1, ukila ni kulala mida hiyo hiyo.
Ehh, Kuna muda hata maji huwa sinywi asubui.Ila kiafya pia ni vizuri sana hauwezi kuwa na uzito wa kijinga jinga.
Yani tumepambana hivi kuja kuwapa watoto wetu maisha bora, leo msosi utushinde. Hata sijasema kiasi cha nyama na kuku, waja wangenichamba sana humu!ukipata bi mkubwa kama huyu ukikua unamnunulia ranger inaonekana anapenda kuona wanae wanakula na sio kwetu uku utasimangwa lkn utashiba na maneno
Choo ulikuwa unapata kweli?hawa lazima wale sana, wapo kwenye hatua ya ukuaji
17 mimi nilikuwa napiga ule mkate wa 2300 mwenyewe
Hahahah, Nakusubiri Miaka yako mi 5 mbele ili nicheke vizuri, Halafu sasa mtu akukute njiani Sister du wa maana. Sahani unayofuta sasa😁😁😁😁 Gubu hoyeeeeeeeeNamshangaza daily Certified Hater ninafuta plate ambayo ye akipewa hamalizi 🤣🤣
🤣🤣 cha msingi ninae Mr. Tizi.. hakijaharibika kitu.. tunakula mchana, jioni zoezi… siogopi gubuHahahah, Nakusubiri Miaka yako mi 5 mbele ili nicheke vizuri, Halafu sasa mtu akukute njiani Sister du wa maana. Sahani unayofuta sasa😁😁😁😁 Gubu hoyeeeeeeee
Hongera kama ni vyepesi hivyo kama kurusha trako.🤣🤣 cha msingi ninae Mr. Tizi.. hakijaharibika kitu.. tunakula mchana, jioni zoezi… siogopi gubu