Kuna binadamu wanakula jamani, nani aliwahi kukushangaza kwenye sekta ya misosi?

Vyakula vimegawanyika katika makundi makuu matatu fuatilia hapa 1.Vyakula vya kujenga miwili (PROTINI) mfano Mayai, samaki, kuku, Maharage
2.Vyakula vya kulinda mwili (Vitamini) mfano Matunda Yote na mboga mboga za Jani
3. Vyakula vya kuupa mwili nguvu (KABOHAIDRET) mfano Wanga na sukari vyakula vyenye Wanga ni kama Wali, Ugali, Mihogo, Viazi, Sukari mfano Miwa, na vinywaji vyenye sukari ama Matunda yaliyoiva au sio + mafuta such as Parachichi, Karanga, Korosho Hitimisho ukitaka machillii wanenepeane wape vyakula vya kujenga miwili sana (PROTINI)
 
Umeelezea poa sana, nafikiri hawanenepi pia kwa sababu ni wachezaji, wanaenda mazoezi kila siku na wanaburn sana energy.

Nimemention tu mchele ila kiasi cha maharage, mayai na nyama wanachokula siwezi kusema hapa, wataniua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…