Kuna binti mtaani kwetu anatumia uzuri wake kusambaza UKIMWI

Sasa si uwaambie kwa mdomo!, hao jamaa wa mtaani kwako wako humu?

Mambo yanayomuhusu juma unayaleta kwa paroko wakati imamu unaishi nae mtaa mmoja!
 
Sasa si uwaambie kwa mdomo!, hao jamaa wa mtaani kwako wako humu?

Mambo yanayomuhusu juma unayaleta kwa paroko wakati imamu unaishi nae mtaa mmoja!
Nisha mwambia mara kadhaa asa ana weza hisi mimi na taka nibebe umeme wake
 
UKIMWI upo kila sehemu, tusibaguane jamani. Unyanyapaa ndio utachochea zaidi hali ya maambukizi.
 
Kuna dem nilitoka nae nikapita peku asubuh naamka nivae sendo moja ikawa imeingia uvunguni kwa kitanda ile kuinama nichukue aisee uso kwa uso na kikopo cha punje aisee hakuna siku nilioga mara nyingi kama ile nikanunua spirit nilijipaka wiki nzima eti naua vidudu🤣🤣🤣
 
Nani kampima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…