Kuna binti nampenda ila sioni future naye, ila pia sitaki kufanya 'hit-and-run'. Kukwepa kumuona siwezi. Nifanye nini?

Kuna binti nampenda ila sioni future naye, ila pia sitaki kufanya 'hit-and-run'. Kukwepa kumuona siwezi. Nifanye nini?

Kuna huyo binti nikimuona
Hadi nguvu zangu zinaisha
Nakosa Cha kuongea
Nabaki namtazama
Na yeye ananitazama pia
Moyo unaanza kudunda
Nahisi kama Kuna vipeopeo mwilini
Naona nampeeeenda ila Sina kitu Cha kumpa.
 
Wakuu natumai nyote hamjambo.

Kwanza kabisa nipende kusema jukwaa hili naliona kama familia, kiukweli najihsi huru kuweka my concerns hapa kuliko kuzungumza na mtu, ndio sababu nalileta hili hapa,.

Wakuu recently nimekuwa na strong feelings of love to a girl I meet on a daily basis, sasa tatizo sioni kama we can make a future together na sikutaka kufanya hit and run to this particular girl.

Pia my conscience tells me not to pursue her, despite all this bado ninampenda. Kumkwepa nisimuone ni ngumu cos napeleka huduma ya kibiashara(delivery service) kwao kila siku.

Nimewaza nisitishe huduma ya kibiashara kwao wao ni wateja wangu labda kwa muda nisimuone lakini naona huu si uamuz mzuri kupoteza mapato kisa mapenz hapana.

Wakuu I feel stuck, jana usiku sijalala coz of this. Ushaur wenu utakuwa greatly appreciated.

N.b: I dont simply want to sleep with the girl, i have a deep longing for her.
mle tuzu.
 
My circumstances mkuu... especially finances.. kingne we are of different classes yey n graduate mm n street guy haya niliyajua from a third party source...

mkuu kihususa ningependa kuambiwa how to forget her and move on with life, i feel stuck..
Siku zote huwa nasema mtu ukiwa na dhamira ya dhati ya kuacha au kufanya jambo fulani basi utaliweza tu. Naona hata kama ukimweleza ukweli na akakuelewa mkaanza mahusiano utateseka sana sababu the first thing "umempenda sana" wanaume huwa tunaanza kutamani sasa kama wewe umependa and akijua hilo umekwisha. Shida ni kwamba umempa priority kubwa akilini mwako ndo maana unapata tabu. Weka priority kwenye mambo mengine ya msingi hilo litaanza kupotea na litaisha kabisa
 
Ahsante mkuu.. nitafanyia kazi pendekezo lako....
 
Upo kama mie....kuna binti nampa dishaga bodaboda kila leo namtamani kinoma binti mstaarabu ila dah ndio hivyo mie bodaboda yeye mtoto wa benki sasa sijui nifanyaje...nilishampigia nyeto mpaka nimechoka
Muite ukiwa umekaza sura na umwambie sitaki tena kkupakia bodaboda nataka nikupakie Mimba,

Ukimaliza panda boda yako vuta mafuta kwa fujo kama mnavyofanyaga alafu ondoka zako.
 
Where did you derive your conscience brooh that abstaining from sex will be the triggering factor to get her?? Let me tell you this .whatever you do mwanamke hajari kuhusu hisia zako hizo ila fanya kitu akupende and don't trust feelings coz are nothing final u can have some judgments on this but don't base on inclination.USIACHE KUWAPELEKEA BIDHAA BE STRONG
Mkuu thanks... I've got to be strong...
 
Acha ujinga boy. Chapa Afu pit kulee
Hakunaga bint wa Kumake naye
Futere kwenye karne hii
😎😎😎😎🫡🫡🫡
 
Hujamuia bado ,unaogopa kumuacha sasa ukimuoa utaweza kumuacha kweli...

"Walio makini wanajifunza kulingana na makosa, wasio makini hawachukui hatua yoyote" Anasema Ezden Jumanne
 
Back
Top Bottom