Kuna brand za nguo zilitikisa sana aisee!

Kuna brand za nguo zilitikisa sana aisee!

Kuna zile tracksuits zilikuwa zimeandikwa OPEL ni za Adidas kama sikosei ila zilibamba sana enzi zile
Mwenzangu tracksuits zile zilikuwa bomba sanaaaa.
Nakumbuka miaka hiyo nilipanda Mohamed trans toka dar kwenda shy basi sasa!!!!! Kwenye bus alikuwepo noorah msanii wa hip hop kama sikosei.. yule kaka alinitafuta mpaka akanipata kupitia hiyo tracksuits ya adidas ilikuwa full white na huku pembeni vi mstari vyekundu.
 
Kuna Jeans zilikua zinatumia jina la Michael Jackson kama Brand name,kitambo sana.
 
Sijui ata brand izi zilipotelea wapi. Ila enzi zake zilisumbua sana.

Phat Farm: Hawa walikua na nguo, na viatu. ((P))
View attachment 3529128

FUBU

DADA: Hawa majeans yao yalikua na mifuko ya nyuma mikubwa, kaunta buku haukunji. View attachment 3529129
G-Unit: Hii ilikua clothing line ya wakina 50 Cent na wenzie. View attachment 3529131
Sean John: Nadhani ilikua inamilikiwa na Diddy.
View attachment 3529132
FILA: Hawa wana viatu na nguo. View attachment 3529134
LEGS,SAVCO,TOMY HILFIGER,FUBU,PUMA,NIKE NK
 
Mwenzangu tracksuits zile zilikuwa bomba sanaaaa.
Nakumbuka miaka hiyo nilipanda Mohamed trans toka dar kwenda shy basi sasa!!!!! Kwenye bus alikuwepo noorah msanii wa hip hop kama sikosei.. yule kaka alinitafuta mpaka akanipata kupitia hiyo tracksuits ya adidas ilikuwa full white na huku pembeni vi mstari vyekundu.
Yaani zilikuwa nzuri mno zile track suit ukivaa unaonekana mwenyewe.
 
Hapa ndo mnaponichanganya wahenga wa JF.

Hiyo minguo na miviatu ya kale mlivaa lakini likija suala la umri mnajipandisha kwa Gen Z mnajifanya watoto 😹😹😹

Hebu acheni ubabaifu anzeni kupunguza matumizi ya chumvi ni hatari kwa umri wenu..!!
 
Back
Top Bottom