Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Mimi nawauzia ili wawauzie nyie 😹Wewe hujawahi nunua kitu mnadani?
Mimi nawauzia ili wawauzie nyie 😹Wewe hujawahi nunua kitu mnadani?
Mahi acha umbea!!!!!!!!Igweeeeeeeeeeeeee
Yani umetiririka vizuri mahi mpaka roho imesuuzuka..!!
Kwahiyo mzigo baba staz si alikula mahi 😜
Chacha mi nimevaa utotoni mana hata picha ninayo..Haukuvaa zile Chachacha au malapa brand ya Bata?
Chachacha nimevaa utotoni mana Kuna picha yangu moja nimepiga hapo. Sa naachaje kuvaa Bata jamani na ndio zilikuwa ndala Kali miaka hiyo weHaukuvaa zile Chachacha au malapa brand ya Bata?
😹😹😹Mahi acha umbea!!!!!!!!
Mzigo hakula,,, kutoa mzigo enzi hizo haikua rahisi kama sasa hivi.
Desa tembea nalo hivyo hivyo..,...😹😹😹
Mahi unaanza kuchana page 🤣
Hujajibu swaliMimi nawauzia ili wawauzie nyie 😹
Sijui ata brand izi zilipotelea wapi. Ila enzi zake zilisumbua sana.
Phat Farm: Hawa walikua na nguo, na viatu. ((P))
View attachment 3529128
FUBU
DADA: Hawa majeans yao yalikua na mifuko ya nyuma mikubwa, kaunta buku haukunji. View attachment 3529129
G-Unit: Hii ilikua clothing line ya wakina 50 Cent na wenzie. View attachment 3529131
Sean John: Nadhani ilikua inamilikiwa na Diddy.
View attachment 3529132
FILA: Hawa wana viatu na nguo. View attachment 3529134
Sasa kama miaka hiyo tulikuwa na miaka 10 unafikiri hatukumbuki jamani 😀😀😀😀Hapa ndo mnaponichanganya wahenga wa JF.
Hiyo minguo na miviatu ya kale mlivaa lakini likija suala la umri mnajipandisha kwa Gen Z mnajifanya watoto 😹😹😹
Hebu acheni ubabaifu anzeni kupunguza matumizi ya chumvi ni hatari kwa umri wenu..!!
we jamaa mwehu sana 😂 🤣Kiatu TAIMA. Kimsingi kama ukiwa kijana mdogo umevaa hizi ina maana utotoni mwako masupastaa (celebrities) walikuwa ni wanamazingaombwe na kina Power Mabula. Epuka wanga na fanya mazoezi ya kunyanyua vyuma na cardio.