Kuna brand za nguo zilitikisa sana aisee!

Kiatu TAIMA. Kimsingi kama ukiwa kijana mdogo umevaa hizi ina maana utotoni mwako masupastaa (celebrities) walikuwa ni wanamazingaombwe na kina Power Mabula. Epuka wanga na fanya mazoezi ya kunyanyua vyuma na cardio.
Wewe ulikuwa unanunua za minadani la kuchumpa na mwenzio Lucas 😹😹
 
Mwenzangu tracksuits zile zilikuwa bomba sanaaaa.
Nakumbuka miaka hiyo nilipanda Mohamed trans toka dar kwenda shy basi sasa!!!!! Kwenye bus alikuwepo noorah msanii wa hip hop kama sikosei.. yule kaka alinitafuta mpaka akanipata kupitia hiyo tracksuits ya adidas ilikuwa full white na huku pembeni vi mstari vyekundu.
Shikilia hapo hapo mahi.

Eehh alivyokupata mlienda wapi na baba staz? 😹😹😹🤣
 
Open, France cook (FFF) , FUBU

Hizo tracksuit zilikuwa na material ngumu unaeza vaa hadi kizazi cha tatu na nne cha wamchukiao 😂😂🙌
 
Shikilia hapo hapo mahi.

Eehh alivyokupata mlienda wapi na baba staz? 😹😹😹🤣
La momy wewe ni m mbea sana....
Haya story iko hivi!!!!!!!!
kwenye bus alinizimikia sasa kumbe hakuwa na confident ya kunifatilia.....
Nilivyoshuka nadhani alinifata na nilifikia kwa mama uroki shinyanga mjini hapo mitaa ya majengo.......
Kumbe hiyo mitaa ni karibu na kwa akina baba staz nyumbani kwao
Baada ya siku mbili nashangaa kijana huyo hapo kaja na wapambe wake na ua lake na zile biscuits za eat some more kanipga mtongozo mambo mengi.........
Nilikula vihela vya noorah na ukizingatia kwao Wana vipesa pesa
Kaninunilia sana chickeni pilipili enzi hizo karena hotel
Sasa Mimi sikukaa pale zaidi ya miezi 3 niliondoka na tulipotezana hivi na sikuwa nae serious kihivyoo basi na mawasiliano yalitutenganisha......
Na pia baba staz kwenye maisha halisi ni mpole kapooza mno Hana hekaheka na Mimi sikupenda ile u pole wake
Muda huo Mimi nilikuwa namalizia chuo
Na wasichana wa wakati huo ambao tulifika shule hatukuwa interested kutoka na wasanii..
 
Back-in-the-days napiga jeans Zeezle ya blue, T-shirt Calvin Clein ya kijivu, chini napiga Simple ya ALI CHOKI, Panki langu kichwani kama Ghatho, Unyunyu safi. 🔥

Kama sio kwa akina Sunday nipo zangu Slipway...... badae Club Billicanas....
 
Zilikuwepo nguo pia za snoop dogg na 50 Cent ambazo suruali iliweza kuwa kaptula kwa kuipunguza kwa zip vipande vya chini.
Pia zilikuwepo Old Navy, GAP, dickies na jansport ambazo zipo hadi leo
 
Back-in-the-days napiga jeans Zeezle ya blue, T-shirt Calvin Clein ya kijivu, chini napiga Simple ya ALI CHOKI, Panki langu kichwani kama Ghatho, Unyunyu safi. 🔥

Kama sio kwa akina Sunday nipo zangu Slipway...... badae Club Billicanas....
Zeezle ya Kaki na Tshirt Nyekundu Phat Farm 🔥🔥🔥
 
Thread kama hizi ndio zinathibitisha umri wetu! Sisi watu wa crimplene, Lee kigozi na viatu vya Bata. Kichwani mzula au Marvin Gaye.

Amandla...
 
La momy wewe ni m mbea sana....
Haya story iko hivi!!!!!!!!
kwenye bus alinizimikia sasa kumbe hakuwa na confident ya kunifatilia.....
Nilivyoshuka nadhani alinifata na nilifikia kwa mama uroki shinyanga mjini hapo mitaa ya majengo.......
Kumbe hiyo mitaa ni karibu na kwa akina baba staz nyumbani kwao
Baada ya siku mbili nashangaa kijana huyo hapo kaja na wapambe wake na ua lake na zile biscuits za eat some more kanipga mtongozo mambo mengi.........
Nilikula vihela vya noorah na ukizingatia kwao Wana vipesa pesa
Kaninunilia sana chickeni pilipili enzi hizo karena hotel
Sasa Mimi sikukaa pale zaidi ya miezi 3 niliondoka na tulipotezana hivi na sikuwa nae serious kihivyoo basi na mawasiliano yalitutenganisha......
Na pia baba staz kwenye maisha halisi ni mpole kapooza mno Hana hekaheka na Mimi sikupenda ile u pole wake
Muda huo Mimi nilikuwa namalizia chuo
Na wasichana wa wakati huo ambao tulifika shule hatukuwa interested kutoka na wasanii..
Igweeeeeeeeeeeeee

Yani umetiririka vizuri mahi mpaka roho imesuuzuka..!!
Kwahiyo mzigo baba staz si alikula mahi 😜
 
Back
Top Bottom