Wewe ulikuwa unanunua za minadani la kuchumpa na mwenzio Lucas πΉπΉKiatu TAIMA. Kimsingi kama ukiwa kijana mdogo umevaa hizi ina maana utotoni mwako masupastaa (celebrities) walikuwa ni wanamazingaombwe na kina Power Mabula. Epuka wanga na fanya mazoezi ya kunyanyua vyuma na cardio.
Shikilia hapo hapo mahi.Mwenzangu tracksuits zile zilikuwa bomba sanaaaa.
Nakumbuka miaka hiyo nilipanda Mohamed trans toka dar kwenda shy basi sasa!!!!! Kwenye bus alikuwepo noorah msanii wa hip hop kama sikosei.. yule kaka alinitafuta mpaka akanipata kupitia hiyo tracksuits ya adidas ilikuwa full white na huku pembeni vi mstari vyekundu.
Halafu bora ziwe OG ni mifamba wanavaa πΉKitu kikiwa kwenye chat mimi huwa sivai, naona kama Usukuma flani hivi
c.c ManyanzaHalafu bora ziwe OG ni mifamba wanavaa πΉ
Sema wasukuma bana utamkuta kavaa Gucci, PRADA, AMIRI, LV, NIKE na BALLENCIAGA kwa wakati mmoja. Na vyote vya mjini kkoo πΉπΉπΉ
Wewe hujawahi nunua kitu mnadani?Wewe ulikuwa unanunua za minadani la kuchumpa na mwenzio Lucas πΉπΉ
Ilikua jezi ya Fc Bayern Munchen.Kuna jezi pia ishawahi kua na hii OPEL kwa mbele
La momy wewe ni m mbea sana....Shikilia hapo hapo mahi.
Eehh alivyokupata mlienda wapi na baba staz? πΉπΉπΉπ€£
Kuna zile tracksuits zilikuwa zimeandikwa OPEL ni za Adidas kama sikosei ila zilibamba sana enzi zile
Sana zilitupendezesha sana sana.Yaani zilikuwa nzuri mno zile track suit ukivaa unaonekana mwenyewe.
Mkuu leo nimevaa Gucci original kabisa π€£
Zeezle ya Kaki na Tshirt Nyekundu Phat Farm π₯π₯π₯Back-in-the-days napiga jeans Zeezle ya blue, T-shirt Calvin Clein ya kijivu, chini napiga Simple ya ALI CHOKI, Panki langu kichwani kama Ghatho, Unyunyu safi. π₯
Kama sio kwa akina Sunday nipo zangu Slipway...... badae Club Billicanas....
Nilikuwa na Zeezle blue jeans na Cardet ya Kaki aisee nilikua nakimbiza mnooJeans yangu pendwa ilikuwa ni Zeezle.
Haukuvaa zile Chachacha au malapa brand ya Bata?Sana zilitupendezesha sana sana.
πΉπΉπΉ
IgweeeeeeeeeeeeeeLa momy wewe ni m mbea sana....
Haya story iko hivi!!!!!!!!
kwenye bus alinizimikia sasa kumbe hakuwa na confident ya kunifatilia.....
Nilivyoshuka nadhani alinifata na nilifikia kwa mama uroki shinyanga mjini hapo mitaa ya majengo.......
Kumbe hiyo mitaa ni karibu na kwa akina baba staz nyumbani kwao
Baada ya siku mbili nashangaa kijana huyo hapo kaja na wapambe wake na ua lake na zile biscuits za eat some more kanipga mtongozo mambo mengi.........
Nilikula vihela vya noorah na ukizingatia kwao Wana vipesa pesa
Kaninunilia sana chickeni pilipili enzi hizo karena hotel
Sasa Mimi sikukaa pale zaidi ya miezi 3 niliondoka na tulipotezana hivi na sikuwa nae serious kihivyoo basi na mawasiliano yalitutenganisha......
Na pia baba staz kwenye maisha halisi ni mpole kapooza mno Hana hekaheka na Mimi sikupenda ile u pole wake
Muda huo Mimi nilikuwa namalizia chuo
Na wasichana wa wakati huo ambao tulifika shule hatukuwa interested kutoka na wasanii..