Kuna brand za nguo zilitikisa sana aisee!

😹😹😹
Mahi unaanza kuchana page 🀣
Desa tembea nalo hivyo hivyo..,...
Haikuwahi kutokea though alikuja kutoa nyimbo moja hivi ndo nikihisi feelings!!!!.
labda tusingepotezana angekula mzigo.
 
Fila bado ipo sababu ni kampuni kubwa. Ila hizo zingine za waafrika huwa hazidumu, ongeza roca wear, ecko unltd, karl kani, vokal etc sababu zinalenga sehemu ndogo ya soko urban youth na hazievolve tofauti na kina nike, Adidas, puma, ama kina ck, gucci, tommy etc hawa wana target section yote ya jamii watoto hadi wazee na wana evolve
 
Sasa kama miaka hiyo tulikuwa na miaka 10 unafikiri hatukumbuki jamani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna zeezle. Nilinunua jeans ya zeezle kwa 12k, ilikua 2004
 
Kiatu TAIMA. Kimsingi kama ukiwa kijana mdogo umevaa hizi ina maana utotoni mwako masupastaa (celebrities) walikuwa ni wanamazingaombwe na kina Power Mabula. Epuka wanga na fanya mazoezi ya kunyanyua vyuma na cardio.
we jamaa mwehu sana πŸ˜‚ 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…