Kuna bus linalotoka Tanzania hadi Ghana?

Naomba kujua kuna bus Linalotoka Tanzania hadi ghanna
Upo Mwanza sehemu gani mkuu. Kuna yale mabasi yanayozuungukia Kirumba nafikiri yanaweza kukushusha Ghana. Au panda ya Pansiasi kisha shuka pale kona usubirie hapo ya kukufikisha Ghana.

Unaweza ukachukua boda fasta tu ukafika Ghana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£β˜οΈ
 
Kupanda bus nilikuwa na maana sana ,hivyo ningeomba kama kuna uwezekan ningesaidiwa kupata usafir kama upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…