Kuna bus linalotoka Tanzania hadi Ghana?

Kuna bus linalotoka Tanzania hadi Ghana?

Ikiwa kweli upo serious na hiyo safari ya bus jipange. Maana itakulazimu usafiri kwa kuunga unga ukibadili mabasi. Unatoka nchi moja kwenda nyingine mpaka ufike na gharama itakuwa kubwa kushinda ya ndege. Pia kiusalama ni hatari kubwa maana usifikiri nchi zote zina amani kama Tanzania. Ukishaanza kuvuka tu Kenya na Uganda hapo milio ya risasi ni jambo la kawaida.

Kwa basi ni gharama kubwa kushinda kwenda na ndege.

Naomba kujua kuna bus Linalotoka Tanzania hadi Ghana
 
Nimejaribu kujibu kitaalam! Kama Nadhani inawezekana,Hapo naona km kuna Atlantic ocean halafu nashauri mtembee na spare tyre na box spanner...Nawatakia safari Njema. Mkifika mtupe mrejesho tuanzishe route ya huko

download.jpg
 
Ni zaidi ya hizo, flight distance ya Ethiopia to Nigeria ni 4000
Chini ni zaidi ya km 15000
Mkuu hivi unajua direct kutoka Dar hadi Los Angeles ni km 16000??

Ethiopia to Nigeria kuwa 15000 utakuwa unazunguka mnooo
 
Nenda mpaka zambia,then chukua ndinga za kuelekea Angola, ukifika huko chukua ndinga za kuelekea Gabon,ukifika Gabon chukua ndinga za kuelekea Cameroon, ukifika huko utachukua za kuelekea Nigeria, then ukifika Nigeria ndio utapata za kuelekea Ghana.
Huo ndio msaada wangu wa mawazo kwako.
 
Ni zaidi ya hizo, flight distance ya Ethiopia to Nigeria ni 4000
Chini ni zaidi ya km 15000
Kwa barabara kuroka Dar to Ghana ni 7053km
Mwendo wa siku 5.
Kutokea Arusha ni 6,043km ni 4days na 9hrs
 
Upo Mwanza sehemu gani mkuu. Kuna yale mabasi yanayozuungukia Kirumba nafikiri yanaweza kukushusha Ghana. Au panda ya Pansiasi kisha shuka pale kona usubirie hapo ya kukufikisha Ghana.

Unaweza ukachukua boda fasta tu ukafika Ghana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji3516]
Au achukuwe Yale ya kutokea kiseke ppf[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa barabara kuroka Dar to Ghana ni 7053km
Mwendo wa siku 5.
Kutokea Arusha ni 6,043km ni 4days na 9hrs
Bila kupumzika qudadeq hatoboi,si bora apande ndege
Au anataka kufanya utalii wa afrika
 
Back
Top Bottom