Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana!!Upo Mwanza sehemu gani mkuu. Kuna yale mabasi yanayozuungukia Kirumba nafikiri yanaweza kukushusha Ghana. Au panda ya Pansiasi kisha shuka pale kona usubirie hapo ya kukufikisha Ghana.
Unaweza ukachukua boda fasta tu ukafika Ghana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji3516]
[emoji23][emoji23][emoji23]