Kuna bus linalotoka Tanzania hadi Ghana?

Upo Mwanza sehemu gani mkuu. Kuna yale mabasi yanayozuungukia Kirumba nafikiri yanaweza kukushusha Ghana. Au panda ya Pansiasi kisha shuka pale kona usubirie hapo ya kukufikisha Ghana.

Unaweza ukachukua boda fasta tu ukafika Ghana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji3516]
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Panda ya Kampala... tafuta ya Sudan 🇸🇩 kule yapo mkuu yanayoenda Abuja na Abuja huwez kosa ya ghana
 
Chagua route hapa.
Screenshot_20220509-155315.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza si salama kwako kupanda usafiri wa bus kutoka TZ Hadi Ghana hapo kati nchi zimevurugwa Sana kiusalama unaweza vamiwa ,bus kutekwa,kuporwa na wenyeji ,Vita etc. .Pili utavuka nchi kadhaa hapo kati utapata tabu mipakani na unaweza ukazuiliwa, matatizo ya visa , kuhonga etc .Tatu ni gharama Sana maana hautajua mazingira ya nchi unazoenda kigharama na route na umbali pia dharura utakazokutana nazo zitakazojitokeza na kubadilisha fedha etc.Nne ni safari ndefu utachoka kukaa kwenye seat muda mrefu. SHORTLY AND CLEAR PANDA NDEGE
 
Nimekuelewa
 
Apande ndege kwani ameshapata suruhisho la dada yake anaechakatwa mbususu na shemeji yake hadi sauti inapenya hadi chumbani kwake!!?
 
Naomba kujua kuna bus Linalotoka Tanzania hadi Ghana
😀😀😀 Sikuwahi kujiuliza kama kuna indivijo anaweza kuwaza hivi... Lakini ni umbali wa roughly 6,572kms. All the best Mesja.
 
Upo Mwanza sehemu gani mkuu. Kuna yale mabasi yanayozuungukia Kirumba nafikiri yanaweza kukushusha Ghana. Au panda ya Pansiasi kisha shuka pale kona usubirie hapo ya kukufikisha Ghana.

Unaweza ukachukua boda fasta tu ukafika Ghana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji3516]
Aseme tu konda nishushe rock city mall
 
Back
Top Bottom