Kuna bus linalotoka Tanzania hadi Ghana?

Mwanzo mzuri hoongera sana!! una maanisha Ghana ya Accra! kuleee W/africa ......jamani ni wazo zuri kwa wafanya Biashara jamani kumbe wateja tunao humu!! ni wakati sasa tusitegemee Leyland Daff!! za muingereza zenye tuinjini tudogoo!

tuunde injini zetu wenyewe mbona rahisi tu! yaani kutoka Cairo mpaka cape town Non stop! ni kitu kina tambaa na njia tu! halafu yawe mazuriiii!! tuna weka na viwanja vya mpira humo humo!...nakwambia wazungu wataroga hapo!

Mama amesha fanya maamuzi mazuri! ya kuunganisha Bahari Hindi mpaka pacific ndani ya EA. sasa weye umekuja na la Ghana safi sana! nawahakikishia tutaunda UNITED STAE OF AFRICA subirini tu naja mie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…