Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaHiyo Katiba yao iko vizuri. Siyo huku Bongogiza! Mtu hakuandaliwa kuwa Rais, unashangaa tu from nowhere katiba inamkabidhi jukumu zito! Na matokeo yake anaidumbukiza nchi shimoni.
Hata mimi nlimshangaa kusema yetu boraBora kuingia gharama za uchaguzi kuliko kua na kiongozi mbovu madarakani.kwasababu hasara yake ni kubwa maelfu elfu kuliko gharama za uchaguzi.Inawezekana usielewe kwasababu unafikiria hapa karibu ila ukifikiria ata miaka 20 ijayo utaona tatizo lilipo.
Mnaokoa gharama za uchaguzi na kuingia gharama za kuwa na rais kimeo.Kama hicho ndio kigezo basi ya Tz ni katiba bora zaidi. Sababu sisi hatufanyi kabisa uchaguzi mpya makamu anapokea kijiti na tunaokoa gharama za uchaguzi
katika matukio haya kila nchi ina utaaratibu wake mkuuKuna nchi Marais hawafi na ikatokea akazima, haitangazwi mpaka aanze kuoza. Wakihakikisha hafufuki ndio kwa taabu Sana mnaambiwa.
kuna haja ya katiba mpyaWaasisi wa nchi zao wanajua how choice works, nchi yetu hatujui KUCHAGUA lipi la kwenda nalo mpaka sasa,
Fikiria tulivyoingia:-
(a)kwenye sera za ujamaa,
(b) mpaka mwaka 2024 still in our country
mtu anaona katiba yetu iko sawa eti anaogopa gharama za uchaguzi!
Taifa laweza kulinda uhai au hata kuanzisha vita kwa ajili ya kumwokoa mtu mmoja tu kwa gharama yoyote.
Kwa usalama wa Rais na pia hata wa Makamu wa Rais katiba ya Namibia iko sawa sana!
Haiweki rehani usalama wa rais kisa gharama za uchaguzi!
(c) fikiria aina ya Muungano wetu,
(d) fikiria elimu tunavyoiendesha.
(e) fikiria kodi na namna zisivyorudi zilikokusanywa kwa uwiano kuendeleza nchi kwa usawa
etc
Aisee hata utaaratibu wa kuficha ugonjwa na kifo 😆katika matukio haya kila nchi ina utaaratibu wake mkuu
Kwa taasisi Nueti kabisa kama ya Uraisi ni UPUMBAVU kuwa na kiongozi asiye na hata kura moja ya wananchi kumruhusu ashikilie nafasi hiyo.Kama hicho ndio kigezo basi ya Tz ni katiba bora zaidi. Sababu sisi hatufanyi kabisa uchaguzi mpya makamu anapokea kijiti na tunaokoa gharama za uchaguzi
Makamo wa rais hapigiwi kura. Anabebwa na raisMTU hukuandalia rais kivipi mkuu,
Wakati alikuwa makamu wa Rais
Na alipigiwa kura na wananchi
Anayesabaisha Mgao ni nani na anayepandisha gharama za maisha ni yupi ?waroho wa madaraka mara zote wao huwaza uchaguzi tu
kuna Watu hawakuitisha maandamano kwa ajili ya kupanda gharama za maisha wala Mgao wa Umeme
lakini ilipokuja marekebisho ya sheria ya uchaguzi haraka haraka wakaitisha maandamano kushinikiza Serikali iongeze idadi yaani kila jambo liwe na Wabunge wawili
Kina utofauti gani na Tanzania? Au ndio ile phobia ya Wabongo kuwa Kila kitu cha nje ni kizuri kuliko cha kwao?Habari JF , baada ya kupata taarifa za kicho cha Rais wa Nambia Hage Geingob ,82 kwa masikitiko makubwa nliamua kupitia kipengere cha urais katika katiba yao .
Kwa kifupi uchanguzi wa haraka hautafanyika sababu ndani ya Mwaka mmoja kuna uchaguzi mkuu lakini ingekuwa kama ilivyotokea kwa JPM yaani kuna zaidi ya mwaka basi uchaguzi ungefanyika .
Uchaguzi Namibia ni Nov 2024 .
- If a President dies, resigns or is removed from office in terms of this Constitution, the vacant office of President shall be filled for the unexpired period thereof as follows:
- if the vacancy occurs not more than one (1) year before the date on which Presidential elections are required to be held, the vacancy shall be filled in accordance with the provisions of Article 34;
- if the vacancy occurs more than one (1) year before the date on which Presidential elections are required to be held, an election for the President shall be held in accordance with the provisions of Article 28 within a period of ninety (90) days from the date on which the vacancy occurred, and pending such election the vacant office shall be filled in accordance with the provisions of Article 34.
-------article 34Article 34 [Succession]
- If the office of President becomes vacant or if the President is otherwise unable to fulfil the duties of the office, the following persons shall in the order provided for in this paragraph act as President for the unexpired portion of the President's term of office or until the President is able to resume office, whichever is the earlier:
- the Prime Minister;
- the Deputy-Prime Minister;
- a person appointed by the Cabinet.
- Where it is regarded as necessary or expedient that a person deputise for the President because of a temporary absence from the country or because of pressure of work, the President shall be entitled to nominate any person enumerated in Paragraph (1) to deputise for him or her in respect of such specific occasions or such specific matters and for such specific periods as in his or her discretion may be considered wise and expedient, subject to consultation with the Cabinet.
Hivyo inapunguza matumizi yasiyo ya lazima wakati uchaguzi upo karibu na pia ina kuhitaji mpate kiongozi mnae mtaka haraka kama muda bado mrefu .
Katiba iko Sawa watu ndio akili hawana.Hiyo Katiba yao iko vizuri. Siyo huku Bongogiza! Mtu hakuandaliwa kuwa Rais, unashangaa tu from nowhere katiba inamkabidhi jukumu zito! Na matokeo yake anaidumbukiza nchi shimoni.
AiseeKina utofauti gani na Tanzania? Au ndio ile phobia ya Wabongo kuwa Kila kitu cha nje ni kizuri kuliko cha kwao?
Kuwa na Rais kwa njia hii ya sasa hapa Bongo kama ndiyo njia inayopunguza gharama ya mateso kwa wananchi, Makonda asingehitajika kufanya kazi ya kusimamia utendaji wa Serikali yenye Rais aliyekamilika! Ipo Bongo tu na vilaza wengi wanasifu utaratibu huu.umeeleweka mkuu na pamerekebishwa .
Kama makamu mwenyewe hajielewi kama huyu wa kwenu ni afadhali kuweka na uchaguzi TU.Kama hicho ndio kigezo basi ya Tz ni katiba bora zaidi. Sababu sisi hatufanyi kabisa uchaguzi mpya makamu anapokea kijiti na tunaokoa gharama za uchaguzi
Mnajulikana hamna kher nyie hata muongozwe nanani nchi ilkua hofu tupu hii wafanyabiasha wamekimbia nch siasa za ubabe leo mna uhuru kufanya siasa mtakavyo bado mnaona hafai acheni chuki za kipuuziHiyo Katiba yao iko vizuri. Siyo huku Bongogiza! Mtu hakuandaliwa kuwa Rais, unashangaa tu from nowhere katiba inamkabidhi jukumu zito! Na matokeo yake anaidumbukiza nchi shimoni.
Spin people at workwaroho wa madaraka mara zote wao huwaza uchaguzi tu
kuna Watu hawakuitisha maandamano kwa ajili ya kupanda gharama za maisha wala Mgao wa Umeme
lakini ilipokuja marekebisho ya sheria ya uchaguzi haraka haraka wakaitisha maandamano kushinikiza Serikali iongeze idadi yaani kila jambo liwe na Wabunge wawili
Ubovu wk nn tukuelewe? Subir utapata mzuri kabisaBora kuingia gharama za uchaguzi kuliko kua na kiongozi mbovu madarakani.kwasababu hasara yake ni kubwa maelfu elfu kuliko gharama za uchaguzi.Inawezekana usielewe kwasababu unafikiria hapa karibu ila ukifikiria ata miaka 20 ijayo utaona tatizo lilipo.