TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Vipi kama Makamu akiondoka katiba inasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eleza uwezo gn unaotk awe nao wt km nyny kubwa kwenu linokusubuen chuki za ukabila ukanda na udini lkn hamna chenginHaya ndio mambo hayatakiwa mnaweza kumpa kijiti mtu ambaye hana uwezo
We mpuuzi uko nje ya maadawaroho wa madaraka mara zote wao huwaza uchaguzi tu
kuna Watu hawakuitisha maandamano kwa ajili ya kupanda gharama za maisha wala Mgao wa Umeme
lakini ilipokuja marekebisho ya sheria ya uchaguzi haraka haraka wakaitisha maandamano kushinikiza Serikali iongeze idadi yaani kila jambo liwe na Wabunge wawili
Daaa kwani anafanya vibaya kiasi cha kuandika maelezo yote hayaYapo makosa tumefanya. Njia nzuri au njia mojawapo ya kurekebisha ni kuhakikisha kwamba Rais Samia hapati nomination ya 2025.
Rais Samia asichaguliwe kugombea urais 2025.
Tazama kwa mfano Lyndon Johnson alikuwa rais fasta fasta baada ya John Kennedy kuuawa.(Sasa,'fasta fasta'siyo msamiati ambao mimi ningeutumia. Lakini ni msamiati ambao unatumiwa na watu wengi,na hata Rais Samia anasema 'fasta fasta').
Huyu anaingia katika mikataba mingi ambayo inafanya taifa linabishana wakati rais huyu hajachaguliwa na wananchi.
Napenda sana kwenda katika ibada Kanisani. Nipo Arusha hapa. Hapa Nabii anakuja katika jukwaa anakwambia huhitaji kufanya jambo lolote kuokoka ila kumpa yeye hela. Baada ya hapo utaokoka mara moja utaenda Mbinguni.
Ndiyo huyu Rais Samia anagawa hela,anampa hela kila mtu. Wanamsifia kila kona. "Huyu rais wa shoka; ametuletea hela,tumejenga zahanati,tumejenga while,tumejenga daraja."
Wakati Bill Gates mwenyewe ameshaamua kwamba maendeleo hauawezi kuletwa na hela,kumpa hela kila mtu. Hizo hela zitatoka wapi? Maendeleo yanaletwa na Covid 19.
Lakini nilikuwa naongea kuhusu Lyndon Johnson. Lyndon Johnson akaapishwa kuwa rais ndani ya helicopter iloyokuwa inaupeleka mwili wa Kennedy Washington DC.
Kwa hiyo huyu rais akawa anafanya low -key activities akasubiri trrm ole iishe halafu akaenda kwa wananchi titafu5a mandate( 'mandate' yaani,uhalali) . Akachaguliwa kuwa rais.
Alipochaguliwa tu kuwa rais,kesho yake akaanza kukwapua dhahabu Fort Knox. Dhahabu inaondolewa na U S Army trucks inaongozwa na Lynda Bird( ambaye ndie mke wake Johnson). Kwa hiyo kama kiongozi ana sera zozote ambazo zinaweza kuwa controversial lazima asubiri achaguliwe kwanza.
Kwa hiyo nadhani Katiba ya Namibia no nzuri zaidi .
Uko sahihi kwa kiasi kikubwaYapo makosa tumefanya. Njia nzuri au njia mojawapo ya kurekebisha ni kuhakikisha kwamba Rais Samia hapati nomination ya 2025.

Mbona sijaona VP alipotajwa?Habari JF , baada ya kupata taarifa za kicho cha Rais wa Nambia Hage Geingob ,82 kwa masikitiko makubwa nliamua kupitia kipengere cha urais katika katiba yao .
Kwa kifupi uchanguzi wa haraka hautafanyika sababu ndani ya Mwaka mmoja kuna uchaguzi mkuu lakini ingekuwa kama ilivyotokea kwa JPM yaani kuna zaidi ya mwaka basi uchaguzi ungefanyika .
Uchaguzi Namibia ni Nov 2024 .
- If a President dies, resigns or is removed from office in terms of this Constitution, the vacant office of President shall be filled for the unexpired period thereof as follows:
- if the vacancy occurs not more than one (1) year before the date on which Presidential elections are required to be held, the vacancy shall be filled in accordance with the provisions of Article 34;
- if the vacancy occurs more than one (1) year before the date on which Presidential elections are required to be held, an election for the President shall be held in accordance with the provisions of Article 28 within a period of ninety (90) days from the date on which the vacancy occurred, and pending such election the vacant office shall be filled in accordance with the provisions of Article 34.
-------article 34Article 34 [Succession]
- If the office of President becomes vacant or if the President is otherwise unable to fulfil the duties of the office, the following persons shall in the order provided for in this paragraph act as President for the unexpired portion of the President's term of office or until the President is able to resume office, whichever is the earlier:
- the Prime Minister;
- the Deputy-Prime Minister;
- a person appointed by the Cabinet.
- Where it is regarded as necessary or expedient that a person deputise for the President because of a temporary absence from the country or because of pressure of work, the President shall be entitled to nominate any person enumerated in Paragraph (1) to deputise for him or her in respect of such specific occasions or such specific matters and for such specific periods as in his or her discretion may be considered wise and expedient, subject to consultation with the Cabinet.
Hivyo inapunguza matumizi yasiyo ya lazima wakati uchaguzi upo karibu na pia ina kuhitaji mpate kiongozi mnae mtaka haraka kama muda bado mrefu .
Toa maoni yako kulingana na mada. Acha kunilalamikia.Mnajulikana hamna kher nyie hata muongozwe nanani nchi ilkua hofu tupu hii wafanyabiasha wamekimbia nch siasa za ubabe leo mna uhuru kufanya siasa mtakavyo bado mnaona hafai acheni chuki za kipuuzi
Usiwalaume kumbuka ni wanasiasa hao na hivyo huangalia masilahi yao kama wanasiasa, tatizo sisi kama wananchi tunashindwa tu kuelewa hawa wanasiasa wetu ni watetezi kwa yale yenye mambo ambayo yana masilahi kwao kisiasa ila haya mengine tupambane tu wenye kwa masilahi yetu na sio kutegemea wanasiasa.waroho wa madaraka mara zote wao huwaza uchaguzi tu
kuna Watu hawakuitisha maandamano kwa ajili ya kupanda gharama za maisha wala Mgao wa Umeme
lakini ilipokuja marekebisho ya sheria ya uchaguzi haraka haraka wakaitisha maandamano kushinikiza Serikali iongeze idadi yaani kila jambo liwe na Wabunge wawili
Ruzuku washapata halafu et waanze kupiga kelele ya sukari?Watu wana majenereta makubwa nyumbani, pesa ipo ya kutosha hawawazi watakula nini waitishe maandamano kwasababu za umeme?
Wao shida yao kubwa iliyobaki ni madaraka tu, hayo ya umeme na kupanda kwa gharama za maisha tukipenda tutayatumia kama ngazi ya kupandia kwenye madaraka.
Habari JF , baada ya kupata taarifa za kicho cha Rais wa Nambia Hage Geingob ,82 kwa masikitiko makubwa nliamua kupitia kipengere cha urais katika katiba yao .
Kwa kifupi uchanguzi wa haraka hautafanyika sababu ndani ya Mwaka mmoja kuna uchaguzi mkuu lakini ingekuwa kama ilivyotokea kwa JPM yaani kuna zaidi ya mwaka basi uchaguzi ungefanyika .
Uchaguzi Namibia ni Nov 2024 .
- If a President dies, resigns or is removed from office in terms of this Constitution, the vacant office of President shall be filled for the unexpired period thereof as follows:
- if the vacancy occurs not more than one (1) year before the date on which Presidential elections are required to be held, the vacancy shall be filled in accordance with the provisions of Article 34;
- if the vacancy occurs more than one (1) year before the date on which Presidential elections are required to be held, an election for the President shall be held in accordance with the provisions of Article 28 within a period of ninety (90) days from the date on which the vacancy occurred, and pending such election the vacant office shall be filled in accordance with the provisions of Article 34.
-------article 34Article 34 [Succession]
- If the office of President becomes vacant or if the President is otherwise unable to fulfil the duties of the office, the following persons shall in the order provided for in this paragraph act as President for the unexpired portion of the President's term of office or until the President is able to resume office, whichever is the earlier:
- the Prime Minister;
- the Deputy-Prime Minister;
- a person appointed by the Cabinet.
- Where it is regarded as necessary or expedient that a person deputise for the President because of a temporary absence from the country or because of pressure of work, the President shall be entitled to nominate any person enumerated in Paragraph (1) to deputise for him or her in respect of such specific occasions or such specific matters and for such specific periods as in his or her discretion may be considered wise and expedient, subject to consultation with the Cabinet.
Hivyo inapunguza matumizi yasiyo ya lazima wakati uchaguzi upo karibu na pia ina kuhitaji mpate kiongozi mnae mtaka haraka kama muda bado mrefu .
Hawachelewi kung'ang'aniaView attachment 2895083
Kauli za watu wazalendo
Hiyo Katiba ya Namibia iliandikwa na Jaji Joseph Warioba na Jaji Mark Bomani (RIP) mwaka 1991 huku Mizengo Pinda akiwa msaidizi wao. Hata huyu marehemu Dr Hage Geingob alikuwapo kwenye jopo hilo la latiba kama local expert.Habari JF , baada ya kupata taarifa za kicho cha Rais wa Nambia Hage Geingob ,82 kwa masikitiko makubwa nliamua kupitia kipengere cha urais katika katiba yao .
Kwa kifupi uchanguzi wa haraka hautafanyika sababu ndani ya Mwaka mmoja kuna uchaguzi mkuu lakini ingekuwa kama ilivyotokea kwa JPM yaani kuna zaidi ya mwaka basi uchaguzi ungefanyika .
Uchaguzi Namibia ni Nov 2024 .
- If a President dies, resigns or is removed from office in terms of this Constitution, the vacant office of President shall be filled for the unexpired period thereof as follows:
- if the vacancy occurs not more than one (1) year before the date on which Presidential elections are required to be held, the vacancy shall be filled in accordance with the provisions of Article 34;
- if the vacancy occurs more than one (1) year before the date on which Presidential elections are required to be held, an election for the President shall be held in accordance with the provisions of Article 28 within a period of ninety (90) days from the date on which the vacancy occurred, and pending such election the vacant office shall be filled in accordance with the provisions of Article 34.
-------article 34Article 34 [Succession]
- If the office of President becomes vacant or if the President is otherwise unable to fulfil the duties of the office, the following persons shall in the order provided for in this paragraph act as President for the unexpired portion of the President's term of office or until the President is able to resume office, whichever is the earlier:
- the Prime Minister;
- the Deputy-Prime Minister;
- a person appointed by the Cabinet.
- Where it is regarded as necessary or expedient that a person deputise for the President because of a temporary absence from the country or because of pressure of work, the President shall be entitled to nominate any person enumerated in Paragraph (1) to deputise for him or her in respect of such specific occasions or such specific matters and for such specific periods as in his or her discretion may be considered wise and expedient, subject to consultation with the Cabinet.
Hivyo inapunguza matumizi yasiyo ya lazima wakati uchaguzi upo karibu na pia ina kuhitaji mpate kiongozi mnae mtaka haraka kama muda bado mrefu .
View attachment 2895085
Siasa safi
Ni nani unadhani yuko bora kuliko Samia? Kwangu Samia ni bora kuliko marehemu Magufuli ambaye alitaka kugeuza nchi kuwa ya KIDIKTETABora kuingia gharama za uchaguzi kuliko kua na kiongozi mbovu madarakani.kwasababu hasara yake ni kubwa maelfu elfu kuliko gharama za uchaguzi.Inawezekana usielewe kwasababu unafikiria hapa karibu ila ukifikiria ata miaka 20 ijayo utaona tatizo lilipo.
Ameuza nchi gani? Na kwa nani? Weka ushahidi hapa!!Kwa mfano sisi tuliokoa gharama ya uchaguzi lakini tukapata bomu limeuza nchi kabisa.
Hii faida au hasara?
Jamaa wazalendo sn, hata timu yao AFCON ilikuwa hivi hiviHabari JF , baada ya kupata taarifa za kicho cha Rais wa Nambia Hage Geingob ,82 kwa masikitiko makubwa nliamua kupitia kipengere cha urais katika katiba yao .
Kwa kifupi uchanguzi wa haraka hautafanyika sababu ndani ya Mwaka mmoja kuna uchaguzi mkuu lakini ingekuwa kama ilivyotokea kwa JPM yaani kuna zaidi ya mwaka basi uchaguzi ungefanyika .
Uchaguzi Namibia ni Nov 2024 .
- If a President dies, resigns or is removed from office in terms of this Constitution, the vacant office of President shall be filled for the unexpired period thereof as follows:
- if the vacancy occurs not more than one (1) year before the date on which Presidential elections are required to be held, the vacancy shall be filled in accordance with the provisions of Article 34;
- if the vacancy occurs more than one (1) year before the date on which Presidential elections are required to be held, an election for the President shall be held in accordance with the provisions of Article 28 within a period of ninety (90) days from the date on which the vacancy occurred, and pending such election the vacant office shall be filled in accordance with the provisions of Article 34.
-------article 34Article 34 [Succession]
- If the office of President becomes vacant or if the President is otherwise unable to fulfil the duties of the office, the following persons shall in the order provided for in this paragraph act as President for the unexpired portion of the President's term of office or until the President is able to resume office, whichever is the earlier:
- the Prime Minister;
- the Deputy-Prime Minister;
- a person appointed by the Cabinet.
- Where it is regarded as necessary or expedient that a person deputise for the President because of a temporary absence from the country or because of pressure of work, the President shall be entitled to nominate any person enumerated in Paragraph (1) to deputise for him or her in respect of such specific occasions or such specific matters and for such specific periods as in his or her discretion may be considered wise and expedient, subject to consultation with the Cabinet.
Hivyo inapunguza matumizi yasiyo ya lazima wakati uchaguzi upo karibu na pia ina kuhitaji mpate kiongozi mnae mtaka haraka kama muda bado mrefu .
View attachment 2895085
Siasa safi
Sisi tulipata hasara kama taifaBora kuingia gharama za uchaguzi kuliko kua na kiongozi mbovu madarakani.kwasababu hasara yake ni kubwa maelfu elfu kuliko gharama za uchaguzi.Inawezekana usielewe kwasababu unafikiria hapa karibu ila ukifikiria ata miaka 20 ijayo utaona tatizo lilipo.
Tuna katiba ya kijinga snWaasisi wa nchi zao wanajua how choice works, nchi yetu hatujui KUCHAGUA lipi la kwenda nalo mpaka sasa,
Fikiria tulivyoingia:-
(a)kwenye sera za ujamaa,
(b) mpaka mwaka 2024 still in our country
mtu anaona katiba yetu iko sawa eti anaogopa gharama za uchaguzi!
Taifa laweza kulinda uhai au hata kuanzisha vita kwa ajili ya kumwokoa mtu mmoja tu kwa gharama yoyote.
Kwa usalama wa Rais na pia hata wa Makamu wa Rais katiba ya Namibia iko sawa sana!
Haiweki rehani usalama wa rais kisa gharama za uchaguzi!
(c) fikiria aina ya Muungano wetu,
(d) fikiria elimu tunavyoiendesha.
(e) fikiria kodi na namna zisivyorudi zilikokusanywa kwa uwiano kuendeleza nchi kwa usawa
etc
Huyu kaharibu kila kituHiyo Katiba yao iko vizuri. Siyo huku Bongogiza! Mtu hakuandaliwa kuwa Rais, unashangaa tu from nowhere katiba inamkabidhi jukumu zito! Na matokeo yake anaidumbukiza nchi shimoni.