Kuna cha kujifunza katika katiba ya Namibia hasa kipengere cha Rais, kimekaa kizalendo zaidi

Hata mimi nlimshangaa kusema yetu bora
 
Kuna nchi Marais hawafi na ikatokea akazima, haitangazwi mpaka aanze kuoza. Wakihakikisha hafufuki ndio kwa taabu Sana mnaambiwa.
katika matukio haya kila nchi ina utaaratibu wake mkuu
 
kuna haja ya katiba mpya
 
Kama hicho ndio kigezo basi ya Tz ni katiba bora zaidi. Sababu sisi hatufanyi kabisa uchaguzi mpya makamu anapokea kijiti na tunaokoa gharama za uchaguzi
Kwa taasisi Nueti kabisa kama ya Uraisi ni UPUMBAVU kuwa na kiongozi asiye na hata kura moja ya wananchi kumruhusu ashikilie nafasi hiyo.
 
Anayesabaisha Mgao ni nani na anayepandisha gharama za maisha ni yupi ?
 
Kina utofauti gani na Tanzania? Au ndio ile phobia ya Wabongo kuwa Kila kitu cha nje ni kizuri kuliko cha kwao?
 
Hiyo Katiba yao iko vizuri. Siyo huku Bongogiza! Mtu hakuandaliwa kuwa Rais, unashangaa tu from nowhere katiba inamkabidhi jukumu zito! Na matokeo yake anaidumbukiza nchi shimoni.
Katiba iko Sawa watu ndio akili hawana.

Mgombea mwenza anapaswa kuwa Presidential material kuweza kuwa Rais kamili, tunaleta mizaha kwenye mgombea mwenza hata Chadema huwa wanafanya vituko, ni Juma Dunia peke yake ndio amewahi kuwa mgombea mwenza wa Chadema ambaye ni Presidential material.
 
Yapo makosa tumefanya. Njia nzuri au njia mojawapo ya kurekebisha ni kuhakikisha kwamba Rais Samia hapati nomination ya 2025.
Rais Samia asichaguliwe kugombea urais 2025.
Tazama kwa mfano Lyndon Johnson alikuwa rais fasta fasta baada ya John Kennedy kuuawa.(Sasa,'fasta fasta'siyo msamiati ambao mimi ningeutumia. Lakini ni msamiati ambao unatumiwa na watu wengi,na hata Rais Samia anasema 'fasta fasta').
Huyu anaingia katika mikataba mingi ambayo inafanya taifa linabishana wakati rais huyu hajachaguliwa na wananchi.
Napenda sana kwenda katika ibada Kanisani. Nipo Arusha hapa. Hapa Nabii anakuja katika jukwaa anakwambia huhitaji kufanya jambo lolote kuokoka ila kumpa yeye hela. Baada ya hapo utaokoka mara moja utaenda Mbinguni.
Ndiyo huyu Rais Samia anagawa hela,anampa hela kila mtu. Wanamsifia kila kona. "Huyu rais wa shoka; ametuletea hela,tumejenga zahanati,tumejenga while,tumejenga daraja."
Wakati Bill Gates mwenyewe ameshaamua kwamba maendeleo hauawezi kuletwa na hela,kumpa hela kila mtu. Hizo hela zitatoka wapi? Maendeleo yanaletwa na Covid 19.
Lakini nilikuwa naongea kuhusu Lyndon Johnson. Lyndon Johnson akaapishwa kuwa rais ndani ya helicopter iloyokuwa inaupeleka mwili wa Kennedy Washington DC.
Kwa hiyo huyu rais akawa anafanya low -key activities akasubiri trrm ole iishe halafu akaenda kwa wananchi titafu5a mandate( 'mandate' yaani,uhalali) . Akachaguliwa kuwa rais.
Alipochaguliwa tu kuwa rais,kesho yake akaanza kukwapua dhahabu Fort Knox. Dhahabu inaondolewa na U S Army trucks inaongozwa na Lynda Bird( ambaye ndie mke wake Johnson). Kwa hiyo kama kiongozi ana sera zozote ambazo zinaweza kuwa controversial lazima asubiri achaguliwe kwanza.
Kwa hiyo nadhani Katiba ya Namibia no nzuri zaidi .
 
umeeleweka mkuu na pamerekebishwa .
Kuwa na Rais kwa njia hii ya sasa hapa Bongo kama ndiyo njia inayopunguza gharama ya mateso kwa wananchi, Makonda asingehitajika kufanya kazi ya kusimamia utendaji wa Serikali yenye Rais aliyekamilika! Ipo Bongo tu na vilaza wengi wanasifu utaratibu huu.
 
Kama hicho ndio kigezo basi ya Tz ni katiba bora zaidi. Sababu sisi hatufanyi kabisa uchaguzi mpya makamu anapokea kijiti na tunaokoa gharama za uchaguzi
Kama makamu mwenyewe hajielewi kama huyu wa kwenu ni afadhali kuweka na uchaguzi TU.
 
Hii ashuke malaika aje akuongozeni ndio mtaridhika na subir baada ya kuondoka huyu ndio uta kuja kuona
 
Hiyo Katiba yao iko vizuri. Siyo huku Bongogiza! Mtu hakuandaliwa kuwa Rais, unashangaa tu from nowhere katiba inamkabidhi jukumu zito! Na matokeo yake anaidumbukiza nchi shimoni.
Mnajulikana hamna kher nyie hata muongozwe nanani nchi ilkua hofu tupu hii wafanyabiasha wamekimbia nch siasa za ubabe leo mna uhuru kufanya siasa mtakavyo bado mnaona hafai acheni chuki za kipuuzi
 
Spin people at work
 
Ubovu wk nn tukuelewe? Subir utapata mzuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…