Kuna cha kujifunza katika katiba ya Namibia hasa kipengere cha Rais, kimekaa kizalendo zaidi

Haya ndio mambo hayatakiwa mnaweza kumpa kijiti mtu ambaye hana uwezo
Eleza uwezo gn unaotk awe nao wt km nyny kubwa kwenu linokusubuen chuki za ukabila ukanda na udini lkn hamna chengin
 
We mpuuzi uko nje ya maada
 
Da MTU unakuwa Rais Hadi miaka 82?. Nchi hiyo haina watu?
 
Daaa kwani anafanya vibaya kiasi cha kuandika maelezo yote haya
 
Uko sahihi kwa kiasi kikubwa
 
Mbona sijaona VP alipotajwa?
 
Mnajulikana hamna kher nyie hata muongozwe nanani nchi ilkua hofu tupu hii wafanyabiasha wamekimbia nch siasa za ubabe leo mna uhuru kufanya siasa mtakavyo bado mnaona hafai acheni chuki za kipuuzi
Toa maoni yako kulingana na mada. Acha kunilalamikia.
 
Usiwalaume kumbuka ni wanasiasa hao na hivyo huangalia masilahi yao kama wanasiasa, tatizo sisi kama wananchi tunashindwa tu kuelewa hawa wanasiasa wetu ni watetezi kwa yale yenye mambo ambayo yana masilahi kwao kisiasa ila haya mengine tupambane tu wenye kwa masilahi yetu na sio kutegemea wanasiasa.
 
Ruzuku washapata halafu et waanze kupiga kelele ya sukari?
 

Kauli za watu wazalendo
 
Hiyo Katiba ya Namibia iliandikwa na Jaji Joseph Warioba na Jaji Mark Bomani (RIP) mwaka 1991 huku Mizengo Pinda akiwa msaidizi wao. Hata huyu marehemu Dr Hage Geingob alikuwapo kwenye jopo hilo la latiba kama local expert.
 
Ni nani unadhani yuko bora kuliko Samia? Kwangu Samia ni bora kuliko marehemu Magufuli ambaye alitaka kugeuza nchi kuwa ya KIDIKTETA
 
Kwa mfano sisi tuliokoa gharama ya uchaguzi lakini tukapata bomu limeuza nchi kabisa.

Hii faida au hasara?
Ameuza nchi gani? Na kwa nani? Weka ushahidi hapa!!

Nyinyi Sukuma Gang mligeuza nchi ni ya ukoo wa Chato na Kolomije lazima povu liwatoke
 
Jamaa wazalendo sn, hata timu yao AFCON ilikuwa hivi hivi
 
Sisi tulipata hasara kama taifa
 
Tuna katiba ya kijinga sn
 
Huyu mama tumeuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…