Kuna cha kujifunza katika katiba ya Namibia hasa kipengere cha Rais, kimekaa kizalendo zaidi

Hiyo Katiba ya Namibia iliandikwa na Jaji Joseph Warioba na Jaji Mark Bomani (RIP) mwaka 1991 huku Mizengo Pinda akiwa msaidizi wao. Hata huyu marehemu Dr Hage Geingob alikuwapo kwenye jopo hilo la latiba kama local expert.
Ya kweli haya ?
 
Kama hicho ndio kigezo basi ya Tz ni katiba bora zaidi. Sababu sisi hatufanyi kabisa uchaguzi mpya makamu anapokea kijiti na tunaokoa gharama za uchaguzi

Yah right.

Makamu anachukua halafu anang'ang'ania ...... kama COUP hivi!!
 
Mkuu rais wao alikufa kwenye hospital in Iowa Pohamba jijini windhiek.

Vipi wewe ni wa huko nini?
 
Noted
 
Kwa katiba yetu, fikiria jinsi Makamu wa Rais mlafi anavyoweza kula njama na kumuua Rais ili arithi. Katiba mbovu kabisa
 
MTU hukuandalia rais kivipi mkuu,
Wakati alikuwa makamu wa Rais
Na alipigiwa kura na wananchi
Hakuna anayekwenda kupanga foleni ya kupiga kura ati Ili amchague makamu wa rais na after all kile kibox Cha kuweka tick au x Huwa kipo Kwa rais pekee. Makamu wa rais ni by the way na Kwa hivyo ni sahihi sana watu wakisema rais wetu wa sasa hajachaguliwa na yeyote
 
Mnajulikana hamna kher nyie hata muongozwe nanani nchi ilkua hofu tupu hii wafanyabiasha wamekimbia nch siasa za ubabe leo mna uhuru kufanya siasa mtakavyo bado mnaona hafai acheni chuki za kipuuzi
Nani kakuambia tunahitaji kuongozwa kizembe zembe kama ilivyo sasa? Fuatilia mikutano ya makonda ili ujionee, watu hawahitaji vijineno laini laini huku wakiendelea kuteseka. Wanahitaji lugha Kali itakayowatisha watu wabaya.
 
Hata Magufuli hakuchaguliwa na Watanzania. Bali kura zilitengenezwa na TISS kwenye kambi ya Chuo cha Mbweni. Halafu ma DSO na ma RSO wakapewa namba za kuandika.

Lakini bora Samia ameituliza nchi japo hakuwekewa tiki. Hakuna tishio la kutekwa, shughuli za siasa zinaendelea na uhuru wa maoni upo mpana
 
Nani kakuambia tunahitaji kuongozwa kizembe zembe kama ilivyo sasa? Fuatilia mikutano ya makonda ili ujionee, watu hawahitaji vijineno laini laini huku wakiendelea kuteseka. Wanahitaji lugha Kali itakayowatisha watu wabaya.
Lugha kali ndiyo kitu gani? Yaani huo usanii wa Makonda unaona ndiyo uongozi?
 
Haya tufanye Magufuli hakuchaguliwa, basi alishiriki kwenye kupigiwa kura. Hayo mengine ya kutuliza nchi na kutotekwa hizo ni ngonjera za kufunika madhaifu.
 
Haya tufanye Magufuli hakuchaguliwa, basi alishiriki kwenye kupigiwa kura. Hayo mengine ya kutuliza nchi na kutotekwa hizo ni ngonjera za kufunika madhaifu.
Wewe mpumbavu sana. Hivi familia zilizopotelewa na wapendwa wao kama Akwiline, Ben Sanane unaweza uktamka pumba kama hizo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…