Kuna comment moja iliyonisikitisha sana

Kuna comment moja iliyonisikitisha sana

Kwa hyo mtu ambae hapaswi kuliwa Ni dada yako toka nitoke au uliechangia nae dam..?

Wengine waliwe mfano mtoto wa mama ako mdogo au bamdogo,mashemeji nk...
Mashemeji ndio kawale tu ila ukoo wenu hii ni HAPANA kwa maana damu ni ile ile
 
Acha unafiki wa kujifanya una adabu sana na nidhamu, wadada wa humu mnapenda muonekane watakatifu mbele za watu, kumbe hamna lolote Unique Flower
Sisi adabu ipo ila aisee hatuvuki mipaka hiyo hapo kuzidi umezidi dada yako unamvua seriously?
Au ndio wewe nawe umo??
 
Tukigegeda malaya masimango tukigegeda dada zetu masimango tukiwaomba nyie mbususu mwatupiga mizinga tukipiga nyeto masimango. Ebu tuacheni tufanye tupendayo
Acheni dada zenu kuleni malaya wapo nawadada ambao sio ndugu wengi wapo wanahitaji bila kulazimishwa
 
Sisi adabu ipo ila aisee hatuvuki mipaka hiyo hapo kuzidi umezidi dada yako unamvua seriously?
Au ndio wewe nawe umo??

Nikikumbuka baadhi ya ndugu zangu wa kike (upande wa baba yangu na wa mama) walivyokua wananitega ili nifanye nao ngono, nyie wadada siwaamini,

Ukimwambia sisi ni ndugu, mdada anakwambia kwani sisi tukiwa ndugu ndo nini, mtaani anawabania papuchi wanaume wengine, anakuja kukupa we ndugu yake umtoe bikira, si usechu huo Unique Flower
 
Ndugu yake sio yeye
 
Habari za Leo,

I hope mko powa.

Jana nilikuwa nasoma comment kwenye uzi fulani mtu mmoja ameandika hivi hata dada yake wakuzaliwa analala naye yaani anafanya mapenzi naye. Hii ilinisikitisha sana.

Sijakukrem ID yako ila imeniuma nimeona niseme dada yako awe mdogo au mkubwa. Huyo ni mama yako muheshimu kabisa usivunje mipaka eti unapita naye. Kama humu unatabia hizi jaribu kuacha ni mbaya sana ewe baba au mama au familia mlioozoea aibu na laana kama hii imetokea wapi? Muwe na mipaka kama umalaya umekuzidi basi ikate uishi kwa amani.
Sitaki kusema jamaa yuko sahihi ama laah, lakin tukumbuke kuwa Adam na Hawa walizaa watoto wawili wakiume, Kaini na Abel pamoja na dada zao (zaman wanawake walikuwa hawatajwi au kuhesabiwa ndo maana haijaandikwa)

Ulishawahi kujiuliza kizazi chao kiliendeleaje? Hapa lazima Abeli alizaa na dada yake, then watoto wao wakazaliana wao kwa wao kizazi kikapanuka mpaka sasa.

Bible kuna sehem inasema mtu asizae na ndugu yake? Kama ipo basi Biblia itakuwa inajipinga yenyewe.
 
Unazijua Nyege lakini halaf zikubane upo Chugga na barid la huku😂😂
 
Sitaki kusema jamaa yuko sahihi ama laah, lakin tukumbuke kuwa Adam na Hawa walizaa watoto wawili wakiume, Kaini na Abel pamoja na dada zao (zaman wanawake walikuwa hawatajwi au kuhesabiwa ndo maana haijaandikwa)

Ulishawahi kujiuliza kizazi chao kiliendeleaje? Hapa lazima Abeli alizaa na dada yake, then watoto wao wakazaliana wao kwa wao kizazi kikapanuka mpaka sasa.

Bible kuna sehem inasema mtu asizae na ndugu yake? Kama ipo basi Biblia itakuwa inajipinga yenyewe.
MAMBO YA WALAWI
MLANGO 18
Bwana akanena na Musa, na kumwambia,
2 Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
3 Nanyi msifanye matendo kama yale ya nchi ya Misri mliyokaa; wala msifanye matendo kama yale ya nchi ya Kanaani, nitakayowapeleka; wala msiende katika amri zao hao.
4 Mtazifanya hukumu zangu, nanyi mtazishika amri zangu, ili mwenende katika hizo; mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
5 Kwa ajili ya hayo mtazishika amri zangu na hukumu zangu; ambazo mtu akizitumia ataishi kwa hizo; mimi ndimi Bwana.
6 Mtu ye yote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi Bwana.
7 Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, usifunue, maana ndiye mama yako; usifunue utupu wake.
8 Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.
9 Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.
10 Utupu wa binti ya mwanao mume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ndio utupu wako mwenyewe.
11 Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni umbu lako, usifunue utupu wake.
12 Usifunue utupu wa umbu lake baba yako; maana, yeye ni jamaa aliye karibu.
13 Usifunue utupu wa umbu la mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako ya karibu.
14 Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi lako.
15 Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.
16 Usifunue utupu wa mke wa nduguyo; maana, ni utupu wa nduguyo.
17 Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanawe mume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.
18 Wala usitwae mwanamke pamoja na nduguye, awe mtesi wake, na kufunua utupu wake, huyo wa pili atakapokuwa yu hai.
19 Nawe usimkaribie mwanamke kufunua utupu wake wakati wa kutengwa kwa ajili ya unajisi wake.
20 Usilale na mke wa mwenzio, ukajitia unajisi naye.
 
Back
Top Bottom