Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Wa familia nyingine. Si familia yakoKwani huyo malaya siyo dada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa familia nyingine. Si familia yakoKwani huyo malaya siyo dada?
Mashemeji ndio kawale tu ila ukoo wenu hii ni HAPANA kwa maana damu ni ile ileKwa hyo mtu ambae hapaswi kuliwa Ni dada yako toka nitoke au uliechangia nae dam..?
Wengine waliwe mfano mtoto wa mama ako mdogo au bamdogo,mashemeji nk...
Sisi adabu ipo ila aisee hatuvuki mipaka hiyo hapo kuzidi umezidi dada yako unamvua seriously?Acha unafiki wa kujifanya una adabu sana na nidhamu, wadada wa humu mnapenda muonekane watakatifu mbele za watu, kumbe hamna lolote Unique Flower
Acheni dada zenu kuleni malaya wapo nawadada ambao sio ndugu wengi wapo wanahitaji bila kulazimishwaTukigegeda malaya masimango tukigegeda dada zetu masimango tukiwaomba nyie mbususu mwatupiga mizinga tukipiga nyeto masimango. Ebu tuacheni tufanye tupendayo
Ubarikiwe sana mkuu2 Tim 2:19
Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.
Amen, baraka ziwe kwetu sote.Ubarikiwe sana mkuu
Hahahahha
Nimekuja Mbio Nikajua Nawe Wameingia PM Kwako Na Jambo Lao!!!
Sisi adabu ipo ila aisee hatuvuki mipaka hiyo hapo kuzidi umezidi dada yako unamvua seriously?
Au ndio wewe nawe umo??
Ndugu yake sio yeyeNikikumbuka baadhi ya ndugu zangu wa kike (upande wa baba yangu na wa mama) walivyokua wananitega ili nifanye nao ngono, nyie wadada siwaamini,
Ukimwambia sisi ni ndugu, mdada anakwambia kwani sisi tukiwa ndugu ndo nini, mtaani anawabania papuchi wanaume wengine, anakuja kukupa we ndugu yake umtoe bikira, si usechu huo Unique Flower
Sitaki kusema jamaa yuko sahihi ama laah, lakin tukumbuke kuwa Adam na Hawa walizaa watoto wawili wakiume, Kaini na Abel pamoja na dada zao (zaman wanawake walikuwa hawatajwi au kuhesabiwa ndo maana haijaandikwa)Habari za Leo,
I hope mko powa.
Jana nilikuwa nasoma comment kwenye uzi fulani mtu mmoja ameandika hivi hata dada yake wakuzaliwa analala naye yaani anafanya mapenzi naye. Hii ilinisikitisha sana.
Sijakukrem ID yako ila imeniuma nimeona niseme dada yako awe mdogo au mkubwa. Huyo ni mama yako muheshimu kabisa usivunje mipaka eti unapita naye. Kama humu unatabia hizi jaribu kuacha ni mbaya sana ewe baba au mama au familia mlioozoea aibu na laana kama hii imetokea wapi? Muwe na mipaka kama umalaya umekuzidi basi ikate uishi kwa amani.
Ni Jambo ZitoHebu funguka chief
MAMBO YA WALAWISitaki kusema jamaa yuko sahihi ama laah, lakin tukumbuke kuwa Adam na Hawa walizaa watoto wawili wakiume, Kaini na Abel pamoja na dada zao (zaman wanawake walikuwa hawatajwi au kuhesabiwa ndo maana haijaandikwa)
Ulishawahi kujiuliza kizazi chao kiliendeleaje? Hapa lazima Abeli alizaa na dada yake, then watoto wao wakazaliana wao kwa wao kizazi kikapanuka mpaka sasa.
Bible kuna sehem inasema mtu asizae na ndugu yake? Kama ipo basi Biblia itakuwa inajipinga yenyewe.