digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,572
- 2,286
Kina masudi huwa akili zao sawa na uvccm.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio mwezi ambao waume zenu wanaruhusiwa kufanya haya kama Mudi alivyo kuwa anafanya?Ndio kishapigwa marufuku na hakuna cha kufanya [emoji1787]
Unalinganisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwa Rezma ambayo ni Ibada ya Wakatoliki na bado Wakatoliki wenyewe hawaifati.
I second you, yani ukitaka kujua binadam huwa tunapelekwa sana mihemko Mara nyingi issues zinazohusisha imani..Siku hizi najifunza sana kuheshimu imani za wengine. Huu uzi siyo mzuri. Nawatakia Ramadhani njema our Muslims Brothers and sisters.
Hate of any kind is Bad.
Truly Speakin' sisHicho mnachokizungumzia hakipo kwenye uislamu. Mlichokifanya hapo ni kuchukua kauli personal na kuusemea uislam. Uislam haupo hivyo. Msikurupuke.
Usafi wa roho ndo muhimu kwa MunguUstaarabu wa kungia hekaluni kumuabudu Bwana na viatu vilivyokanyaga mauchafu ya kila aina lakini cha ajabu nyumbani kwako sebuleni unavua akili hii???
Ustaarabu wa kuingia kufanya ibada hata kama unatoka kugegedana mda huo huo beana hana shida anapokea maombi akili hii??
Ustaarabu wa kusali na vimini akili hii?
Ustaarabu wa kusali kwa kuchanganyikana Me na Ke, kuimba na kutikisa viwiliwili kwa wenye misambwanda inakuaje????
Umewahi ishi ZANZIBAR??Hicho mnachokizungumzia hakipo kwenye uislamu. Mlichokifanya hapo ni kuchukua kauli personal na kuusemea uislam. Uislam haupo hivyo. Msikurupuke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna hoja kaka poleeeeh.Mwenyezi Mungu ukujaalie na uondokane na roho ya uchoko na ufirauni
Huyu demu hajakuelewe tu..mbona tunawala sana..muda wa kufuturu unafuturu naye kiroho safi.tulio na mademu wa kiislamu huu mwezi hatupati utelezi haya ndo madhara yake dah
Ndio nikasema, kama miji yote kwa sasa ipo chini ya serikali, basi taratibu na sheria za kiserikali ziko juu ya zile za kitamaduni, hivyo huwezi impose utamaduni wako kwa usiyemuhusu, serikali inamlinda na ndio maana inakusanya kodi toka kwake hata akiwa katika sehemu yenye tamaduni tofauti na zakeUwislam haupo Saudia tu,
Hakuna miji ya kidini ila kuna tamaduni za miji na Baazi ndio kama hizo. Na zilikua nyingi tu mf:
Zamani kulikua ngumu wakristo kupanga nyumba hapa Dar kutokana na tamaduni za wenyeji.
Nyerere akaamua kujenga Mission kota
Ni uwepo wa imani haba tu ndicho kinachowasumbua, mbona mimi naweza kufunga na nikapishana na pisi kali pale Posta, watu wakila mahotelini, nikapita hata kwenye Casino wakiwa wanafanya dhambi zao lakini nisiweweseke wala kubabaishwa na mambo yao?Ukiona hivyo % kubwa hapo ni waislam
Yes auze, aruhusiwe kuuza, hao waliomwambia hivyo wamekosea sana, kama umefunga si usinuwe huo uji, kwani lazima?!Acheni wivu nyinyi uislam hauna matabaka kwenye mfungo wote lazima wafunge unafananishaje na kwaresma.
Huyo Dada auze tuu huo uji hakuna wa kumdhuru nchi huru hii uskute wateja wake wengi waislam labda wakamwambia hivyo.
Utaratibu huwekwa na serikali, au maduka yanayouza soda na maji nayo hufungwa?Wenyeji wa pwani ni waislam, Hajakatazwa Mtu kula but afuate utarati wa wenyeji wako waliojiekea