Jaribu kitunga uongo unaofanana na ukweli, daladala Arusha mwisho saa 4 ikizidi sana ni saa 5.Wakuu kuna daladala huwa mchana wala asubuhi hauzioni. Unaziona kuanzia saa 6 usiku. Hizi nimekutana nazo sana Arusha unakuta taa moja tu ndio inawaka, sasa usiombe wakati wa kupamba mlima, mbona utaomba poo. Ikifika saa 11 alfajiri hauzioni tena. Sasa sijui huwa wanaziiba gereji.
Halafu we jamaa nuksiSiwachongei mkuu ila nashangaa zinaendaga wapi maana mchana hata mtaani huzioni
wabongo nomaHakuna tatizo mradi hawaendeshi mwendokasi wala kihuni.
Hatujawahi kusikia ajali ya magari hayo.
Mijini watu hawalali wanatafuta riziki,
Wengine wanatoka kwenye harusi hawana magari ya familia kutokana na uwezo mdogo unazani wanarudije majumbani toka kwenye kumbi za harusi ?
Wengine wanatoka kazi za shift hawana magari binafsi unatemea walale majiani hadi asubuhi?
Wengine wanatoka mahospitalini kuona wagonjwa wao au kupeleka dawa zilizoandikwa na daktari n.k
Wawepo tu mradi wafuate sheria.