Kuna daladala zinaonekanaga kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 alfajir

Kuna daladala zinaonekanaga kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 alfajir

Japokua sidhani kama arusha zipo gari huo usiku wa saa 6 ila kwa dar hizo daladala tunaita VIBWENGO ni gari ambazo hazina ukamilifu kwenye kulipa bima au mapato so muda wake wa kutembea ni usiku. Pia mafundi gereji huiba gari za wateja wao zilizolala gereji na kwenda kupiga deiwaka.
Arusha hakuna hizo ruti za kuanzia saa sita usiku hembu mtoa mada atuambie huwa ni ruti za njia gani? Uwongo mtakatifu hu. Labda dar
 
Wakuu kuna daladala huwa mchana wala asubuhi hauzioni. Unaziona kuanzia saa 6 usiku. Hizi nimekutana nazo sana Arusha unakuta taa moja tu ndio inawaka, sasa usiombe wakati wa kupamba mlima, mbona utaomba poo. Ikifika saa 11 alfajiri hauzioni tena. Sasa sijui huwa wanaziiba gereji.
Ni daladala au ungo?
 
Hao wanafanya ushanta tu
Wengi wao ni wahuni tu

Ova
Anapewa daywaka mtu teja wa buguruni dereva kapiga route mbili za mapema asubuhi kakomaa halijamuharibikia kashuka na 30k...kazi Sasa kwa teja wetu anasizi mchana usiku Sasa ndo kazikazi acha kabisa Hili life
 
Sasa usiku mtu route ya kinyereza kariakoo akifika anabeba wa gongolamboto 1000 usiku mkali mpaka mbezi Tena watu Wana 60000 na Sasa ni teja akipaki hapo katoa 40000 gari bovu huyo anaenda kutafuta unga malapa
 
Dashboard yake Sasa imejaa vyuma chakavu...abiria walevi usiku na maneno na vitimbwi Sasa ni habari nyingine
 
Jaribu kitunga uongo unaofanana na ukweli, daladala Arusha mwisho saa 4 ikizidi sana ni saa 5.
Hakuna abiria usiku kwa Arusha.
Barabara zinazochelewa kufunga kazi ni Ngulelo na Morombo.
hizo zipo kibao usikatae jombii ...kwa morombo nishakutana nazo kibao tena huwa zina zima zima hvyo ,mlango haufungi vyema wakushikilia ...mida ya hizo gari kuanzia saa saba usiku kwa route ya morombo
 
Mi naishi kimandolu Arusha, daladala mwisho saa 5 na hapo za kubahatisha, sasa sijui hizi unazosema zinaenda wapi, kiufupi kusafiri usiku Arusha labda pikipik au private.
hiyo moshi road,kisongo na ngara huo muda ni kweli gari hkn ila morombo almost wanakesha usafiri upo hata uende saa saba za usiku utaukuta
 
Wanaita za kuwanga mkuu
Nyingi ni mbovu na pia hazina vibali na wengi wa madereva hawana leseni
 
Wakuu kuna daladala huwa mchana wala asubuhi hauzioni. Unaziona kuanzia saa 6 usiku. Hizi nimekutana nazo sana Arusha unakuta taa moja tu ndio inawaka, sasa usiombe wakati wa kupanda mlima, mbona utaomba poo. Ikifika saa 11 alfajiri hauzioni tena. Sasa sijui huwa wanaziiba gereji.
Lakini sijawahi kuona zikiwa zimepata ajali.zinamaliza kazi salama zinarudi kupaki
 
Hizo ni za night shift. Kwa hapa dar ni nyingi sana kumbuka dar huwa jua halizami watu wanapiga kazi masaa yote na kuna movement nyingi sana usiku almost robo ya zile za day time. Na hizi huwa zinaendeshw kwa faida na hapa dar huwa siyo vimeo ni daladala ziko bomba na nauli ya usiku imechangamka kuanzia book kwenda mbele hazina route maalum yaani huwa haziendeshwi kwa hasara. Hazikutani na bao wala foleni yaani utakosa hela kwa kwenda route ambayo haiko bizzy kwa wingi wa abiria
 
Usiku mnene zinasaidia sana kipande cha Magomeni Kanisani kwenda Sinza,kariakoo,Buguruni,Ubungo na Mbezi.
 
Back
Top Bottom