Kuna daladala zinaonekanaga kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 alfajir

Kuna daladala zinaonekanaga kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 alfajir

Kwa huku mbeya ukiona hivo ujue wasomali wanasafirishwa au magendo kutoka TUNDUMA!
 
Wanaume hawalali acha domo kaya mtoto wa kiume.Huwa wanapaki kuzimu ikifika saa kumi na moja na dakika 30
 
Unakuwa snitch na mtu mwenyewe inawezekana usafiri binafsi huna hizo 400 unazotoa usiku kwa hzo daladala zinazokusaidia wewe zikiondoka kwa usnitch wako usiku utapanda mabasi gani..

Subiri uanze kutoa 5000 Hadi 10,000 kwa bodaboda mpuuzi ww
😄😄😄 we unamiliki ngapi katika hizo?
 
Hzo zipo njia za gongo la mboto ndani ndani ,majohe,ulongoni
 
Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema wamekuwa kama Kiba wanaomchukia Diamond
 
Back
Top Bottom