manndungu
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 501
- 483
Arusha hakuna hizo ruti za kuanzia saa sita usiku hembu mtoa mada atuambie huwa ni ruti za njia gani? Uwongo mtakatifu hu. Labda darJapokua sidhani kama arusha zipo gari huo usiku wa saa 6 ila kwa dar hizo daladala tunaita VIBWENGO ni gari ambazo hazina ukamilifu kwenye kulipa bima au mapato so muda wake wa kutembea ni usiku. Pia mafundi gereji huiba gari za wateja wao zilizolala gereji na kwenda kupiga deiwaka.