Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
πππ we unamiliki ngapi katika hizo?Unakuwa snitch na mtu mwenyewe inawezekana usafiri binafsi huna hizo 400 unazotoa usiku kwa hzo daladala zinazokusaidia wewe zikiondoka kwa usnitch wako usiku utapanda mabasi gani..
Subiri uanze kutoa 5000 Hadi 10,000 kwa bodaboda mpuuzi ww
Hatukosagi uoga ndugu yangu mieHapo si ndo usalama fulu mzuka
Hehe ila yakiamua kukurarua huwez jua..Hatukosagi uoga ndugu yangu mie
SureDaaah uchawi upo jamani. Huyu si mchawi huyu.