Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,072
Nimemsikia Joseph Kusaga kwenye mahojiano fulani siku chache baada ya kifo cha Ruge, akisema sasa ataingia full na kutekeleza majukumu ya kuiongoza team ya CMG kama alivyokuwa akifanya Ruge
Kauli ile niliipima
Joe hana bond nzuri na wafanyakazi. He is too bossy na ni mkali. Ana uchaga mwingi na haamini kwenye mtu kupata kingi. Rejea kauli ya Lady Jaydee katika ule waraka wake maarufu "Kila siku mnamsema Ruge.. Ila huyo Kusaga ni nyoka zaidi".
Sasa, Joe akianza kushiriki rasmi kwenye operation za CMG basi itarajiwe vijana wengi kufanya kazi kwa nidhamu ya uoga na mizengwe. Tofauti na walivyokuwa chini ya Ruge.
Si ajabu kuanza kusikia majina makubwa yanachomoka pale na kukimbilia E-FM/TVE.
Na vile Majizzo ana msemo wake "It's not personal. It's business" atawanyakua kweli kweli.
Muda utasema!