Kuna dalili wafanyakazi wengi wa Clouds wakashindwana na Joe Kusaga

Lakini si biashara au muajiriwa hapo?

Vitu vingine kukaa kimya tu sio lazima kuanzisha thread,ungeanzisha thread labda nafasi ya Ruge anateuliwa B12 au Gadner ungeanza kuwajadili tabia zao.

Lakini mwenyewe katafuta pesa kwa jasho lake halafu unampangia nini cha kufanya kwenye biashara yake haupo serious kabisa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikia Joseph Kusaga kwenye mahojiano fulani siku chache baada ya kifo cha Ruge, akisema sasa ataingia full na kutekeleza majukumu ya kuiongoza team ya CMG kama alivyokuwa akifanya Ruge.

Kauli ile niliipima.

Joe hana bond nzuri na wafanyakazi. He is too bossy na ni mkali. Ana uchaga mwingi na haamini kwenye mtu kupata kingi. Rejea kauli ya Lady Jaydee katika ule waraka wake maarufu "Kila siku mnamsema Ruge.. Ila huyo Kusaga ni nyoka zaidi".

Sasa, Joe akianza kushiriki rasmi kwenye operation za CMG basi itarajiwe vijana wengi kufanya kazi kwa nidhamu ya uoga na mizengwe. Tofauti na walivyokuwa chini ya Ruge.

Si ajabu kuanza kusikia majina makubwa yanachomoka pale na kukimbilia E-FM/TVE.

Na vile Majizzo ana msemo wake "It's not personal. It's business" atawanyakua kweli kweli.

Muda utasema!
Joe ana uchaga mwingi....hapa umemaanisha nini mkuu?
 
Soudy brown ajiandae kurudi bush, kawatukana sana WCB na kajivulia heshima ya kuaminika na chombo chochote, bora kina Millard walikua kimya.

Maisha yanakwenda kasi sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruge ni mmiliki nahakuwa muajiriwa kwahyo nafikiri mrithi wa hisa zake ndo anatakiwa kushika nafasi yake kama nitakuwa sahii.
Ruge hakuwa na hisa pale, CMG inamilikwa na familia ya Kusaga na Joe ndio ana hisa nyingi zaidi.

"There is a company profile for Clouds Television at the Business Registrations and Licensing Agency (BRELA), according to which Alex Mkama hold 25% of the shares, just as much as Joseph Kusaga. Clouds Entertainment Limited holds 50% of shares. The current shareholders of Clouds Entertainment are Joseph M. Kusaga (50%), Judith Violet Kusaga (10%), Sheba Martha Kusaga (10%), Dogan Andrew Kusaga (10%), Joyce Alex Kusaga (5%), Alex Justine Kusaga (5%), and Prisca Mkama Kusaga (10%). "

Source:Media Ownership Monitor
 
Nimemsikia Joseph Kusaga kwenye mahojiano fulani siku chache baada ya kifo cha Ruge, akisema sasa ataingia full na kutekeleza majukumu ya kuiongoza team ya CMG kama alivyokuwa akifanya Ruge.

Kauli ile niliipima.

Joe hana bond nzuri na wafanyakazi. He is too bossy na ni mkali. Ana uchaga mwingi na haamini kwenye mtu kupata kingi. Rejea kauli ya Lady Jaydee katika ule waraka wake maarufu "Kila siku mnamsema Ruge.. Ila huyo Kusaga ni nyoka zaidi".

Sasa, Joe akianza kushiriki rasmi kwenye operation za CMG basi itarajiwe vijana wengi kufanya kazi kwa nidhamu ya uoga na mizengwe. Tofauti na walivyokuwa chini ya Ruge.

Si ajabu kuanza kusikia majina makubwa yanachomoka pale na kukimbilia E-FM/TVE.

Na vile Majizzo ana msemo wake "It's not personal. It's business" atawanyakua kweli kweli.

Muda utasema!
Na kweli niliogopa Jide alivyosema bora ya ruge kuliko kusaga.....Jkusaga muachie Sebastian Maganga/Simalenga achukue nafasi ya Ruge,wewe endeleza wcb tu CMG waachie Young Bloodz.
 
Wengi mnamu underestimate sana Kusaga. Kusaga na Ruge ni combination ambayo ilitegemeana sana kwenye mengi. Kusaga naamini atatengeneza combination nyingine nzuri tu ingawa itachukua muda kidogo.

Huwezi kumreplace Ruge lakini uwepo wa Kusaga na kama atajihusisha direct kwenye uendeshaji, Clouds wataendelea vizuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruge hakuwa na hisa pale, CMG inamilikwa na familia ya Kusaga na Joe ndio ana hisa nyingi zaidi.

"There is a company profile for Clouds Television at the Business Registrations and Licensing Agency (BRELA), according to which Alex Mkama hold 25% of the shares, just as much as Joseph Kusaga. Clouds Entertainment Limited holds 50% of shares. The current shareholders of Clouds Entertainment are Joseph M. Kusaga (50%), Judith Violet Kusaga (10%), Sheba Martha Kusaga (10%), Dogan Andrew Kusaga (10%), Joyce Alex Kusaga (5%), Alex Justine Kusaga (5%), and Prisca Mkama Kusaga (10%). "

Source:Media Ownership Monitor

Hiyo ni Televisheni, vipi kuhusu redio. Inamaana vile vifaa alivyokua anavituma Ruge kutoka marekani alikua analipwa hela yake na sio kuwekeza? Kwa mawazo yake ya uwekezaji tu asingekua tayari kuipigania redio ya familia ambayo mmoja wa wanafamilia inasemekana anaihujumu (inasemekana). Nina imani alikua na mkono wake redioni, ndio maana televisheni haikua na ubunifu hata kidogo kwasababu marehemu hakuwa sehemu yake.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mnasemaga wahaya hawana upendo sijui huyo ruge alikuwa wa wapi?
Hata ubinafsi, uchoyo wa maarifa na roho mbaya tulizonazo watanzania za kutotaka mwengine afanikiwe hakuwa nao! Mie nahisi hakuwa wa nchi hii. Tunafichwa jambo.

Yaani hata nyodo tu akose? Asaidie watu na kutoa misaada kemukemu bila kuita waandishi wa habari na kuonyesha live wakati tv station alikuwa nayo?
Ruge alistahili kukaguliwa uraia.
 
Hiyo ni Televisheni, vipi kuhusu redio. Inamaana vile vifaa alivyokua anavituma Ruge kutoka marekani alikua analipwa hela yake na sio kuwekeza? Kwa mawazo yake ya uwekezaji tu asingekua tayari kuipigania redio ya familia ambayo mmoja wa wanafamilia inasemekana anaihujumu (inasemekana). Nina imani alikua na mkono wake redioni, ndio maana televisheni haikua na ubunifu hata kidogo kwasababu marehemu hakuwa sehemu yake.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Clouds entertainment ndo inamiliki Clouds Tv na clouds fm pia..so Ruge alikuwa mshika pembe tu pale walaji wengine..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni Televisheni, vipi kuhusu redio. Inamaana vile vifaa alivyokua anavituma Ruge kutoka marekani alikua analipwa hela yake na sio kuwekeza? Kwa mawazo yake ya uwekezaji tu asingekua tayari kuipigania redio ya familia ambayo mmoja wa wanafamilia inasemekana anaihujumu (inasemekana). Nina imani alikua na mkono wake redioni, ndio maana televisheni haikua na ubunifu hata kidogo kwasababu marehemu hakuwa sehemu yake.

Sent from my iPhone using JamiiForums

achana na hater wa ruge huyo... ruge ni share holder clouds.. hata kusaga sababu ya kuwekeza wcb ni ruge alikomaa aongezewe share maana yeye ndio mtoa jasho
 
Back
Top Bottom