Kuna dalili wafanyakazi wengi wa Clouds wakashindwana na Joe Kusaga

Kuna dalili wafanyakazi wengi wa Clouds wakashindwana na Joe Kusaga

Sidhani kama tunabishana Mkuu, hakuna taarifa niliyotoa kichwani hapo zaidi ya ku-share taarifa zilizo kwenye hiyo link, tunaweza kuwa tunatofautiana uelewa tu wa hizo taarifa, otherwise kama unge-share pia chanzo cha taarifa tofauti na hizo, kwenye hiyo tafsiri ya kiswahili kweli kuna makosa, ila ile ya kiingereza na ipo kwenye hiyo link wameeleza mgawanyo wa shares wa CMG.
"The current shareholders of Clouds Entertainment are Joseph M. Kusaga (50%), Judith Violet Kusaga (10%), Sheba Martha Kusaga (10%), Dogan Andrew Kusaga (10%), Joyce Alex Kusaga (5%), Alex Justine Kusaga (5%), and Prisca Mkama Kusaga (10%).

Ruge Mutahaba today still is Director of Strategy and Programs Development at Clouds Media Group."
Hapa mjini watu wanakonda kwa mengi!
 
Majina makubwa yanachomoka Clouds na kuhamia EFM.

B12 tayari.
 
Naam.

Na ndio focus ya uzi huu. Kusaga inabidi acheze vizuri karata zake. Achukue tahadhari na asilete 'new manifesto' itakayovuruga mtindo uliozoeleka pale. Labda aboreshe.

Akizingua, jamaa wanasepa.

Halafu, nimefuatilia nikaona mahusiano ya wafanyakazi wa CMG na Majizo wa EFM yameimarika sana hivi karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bila shaka wewe ndo B12. Haiwezekani uandike ukweli uliopitiliza.
 
Hatimae yametimia ungekuwa na kanisa kama la ministry upepo ungeitwa NABII
 
Mambo yashaanza...Sema Media ni yake,akiibomoa ni hasara kwake mwenyewe.
 
Dinnamarios na zamarad mpaka Leo haziivi
 
Kuna mtangazaji mwingine mkubwa anang'olewa kutoka media kubwa kwenda media pinzani wiki ijayo. Huu ni usajili wa dirisha dogo tu.
 
Kuna mtangazaji mwingine mkubwa anang'olewa kutoka media kubwa kwenda media pinzani wiki ijayo. Huu ni usajili wa dirisha dogo tu.
Akienda Wasafi si anaendelea kua mwajiriwa wa boss joe tu?
 
Back
Top Bottom