Kuna dalili wafanyakazi wengi wa Clouds wakashindwana na Joe Kusaga

Kuna dalili wafanyakazi wengi wa Clouds wakashindwana na Joe Kusaga

Nimesikia Hassan Ngoma ndio atakuwa Mkurugenzi wa vipindi na uendeshaji na kwa sasa anachukua course maalumu ya wiki moja katika moja ya vyuo vikuu hapa nchini!
Umesikia wapi?

Kuna watu wengi pale wenye likeliness ya kushika hiyo nafasi kabla ya kumfikia Mr. Tanzanite.

Hii najua umetania!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruge alijenga foundation nzuri pale CMG system tayari imeshajiweka Yupo Seba Maganga na Sheba Kusaga wamefanya kazi na Ruge Muda mrefu. Kusaga Wala haitajiki kuingia deep zaidi hapo alipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana mwanzo nikasema IF ataheshimu hilo na asijaribu kupindua meza akaharibu zaidi..

The rest upo sahihi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafasi ya Ruge pale CMG inakaimiwa na Sebastian Maganga nazanani anaweza na anaijua culture ya CMG

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure. Na Maganga amedumu kwa kuwa aliielewa Falsafa ya Ruge na kumsaidia kuitekeleza.

Kimsingi, CMG wasijaribu kumtambulisha mbadala wa Ruge. Watu watafanya comparison halafu italeta shida. Kama mkuu The Monk alivyosema Ruge ameset high standards pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikia Joseph Kusaga kwenye mahojiano fulani siku chache baada ya kifo cha Ruge, akisema sasa ataingia full na kutekeleza majukumu ya kuiongoza team ya CMG kama alivyokuwa akifanya Ruge.

Kauli ile niliipima.

Joe hana bond nzuri na wafanyakazi. He is too bossy na ni mkali. Ana uchaga mwingi na haamini kwenye mtu kupata kingi. Rejea kauli ya Lady Jaydee katika ule waraka wake maarufu "Kila siku mnamsema Ruge.. Ila huyo Kusaga ni nyoka zaidi".

Sasa, Joe akianza kushiriki rasmi kwenye operation za CMG basi itarajiwe vijana wengi kufanya kazi kwa nidhamu ya uoga na mizengwe. Tofauti na walivyokuwa chini ya Ruge.

Si ajabu kuanza kusikia majina makubwa yanachomoka pale na kukimbilia E-FM/TVE.

Na vile Majizzo ana msemo wake "It's not personal. It's business" atawanyakua kweli kweli.

Muda utasema!
Muhimu ni wewe kuanzisha kampuni na kumshinda kwa kufanikiwa zaidi sio kwa nadharia ya yeye anakosea wapi, ili yeye na wengine tujifunze kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwani pale ruge si ana hisa zake kabisa? Ruge ni mmiliki nahakuwa muajiriwa kwahyo nafikiri mrithi wa hisa zake ndo anatakiwa kushika nafasi yake kama nitakuwa sahii.
 
Back
Top Bottom