Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
wacha we!
hauko sahihi
Meeen!!jaribu kutafuta kama utapata kuna kampuni inaitwa clouds fm hapo Blera.
Sent using Jamii Forums mobile app
binafsi sijakuelewa
unataka kusema nini hasa? Brela, clouds, clouds entertainment vina nini?
Ninachokupinga ni issue ya mshiko. unaweza ukawa mmiliki wa kampuni ila sio mwendeshaji!
na mwendeshaji anaweza kuwa signatories