Huyu seba maganga ndiye yule Sebastian maganga aliyekuwa radio one?Ruge alijenga foundation nzuri pale CMG system tayari imeshajiweka Yupo Seba Maganga na Sheba Kusaga wamefanya kazi na Ruge Muda mrefu. Kusaga Wala haitajiki kuingia deep zaidi hapo alipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Joe ana uchaga mwingi....hapa umemaanisha nini mkuu?Nimemsikia Joseph Kusaga kwenye mahojiano fulani siku chache baada ya kifo cha Ruge, akisema sasa ataingia full na kutekeleza majukumu ya kuiongoza team ya CMG kama alivyokuwa akifanya Ruge.
Kauli ile niliipima.
Joe hana bond nzuri na wafanyakazi. He is too bossy na ni mkali. Ana uchaga mwingi na haamini kwenye mtu kupata kingi. Rejea kauli ya Lady Jaydee katika ule waraka wake maarufu "Kila siku mnamsema Ruge.. Ila huyo Kusaga ni nyoka zaidi".
Sasa, Joe akianza kushiriki rasmi kwenye operation za CMG basi itarajiwe vijana wengi kufanya kazi kwa nidhamu ya uoga na mizengwe. Tofauti na walivyokuwa chini ya Ruge.
Si ajabu kuanza kusikia majina makubwa yanachomoka pale na kukimbilia E-FM/TVE.
Na vile Majizzo ana msemo wake "It's not personal. It's business" atawanyakua kweli kweli.
Muda utasema!
Ruge hakuwa na hisa pale, CMG inamilikwa na familia ya Kusaga na Joe ndio ana hisa nyingi zaidi.Ruge ni mmiliki nahakuwa muajiriwa kwahyo nafikiri mrithi wa hisa zake ndo anatakiwa kushika nafasi yake kama nitakuwa sahii.
Cloud tbc wangemtaguta mwingine hata babie labda
Na kweli niliogopa Jide alivyosema bora ya ruge kuliko kusaga.....Jkusaga muachie Sebastian Maganga/Simalenga achukue nafasi ya Ruge,wewe endeleza wcb tu CMG waachie Young Bloodz.Nimemsikia Joseph Kusaga kwenye mahojiano fulani siku chache baada ya kifo cha Ruge, akisema sasa ataingia full na kutekeleza majukumu ya kuiongoza team ya CMG kama alivyokuwa akifanya Ruge.
Kauli ile niliipima.
Joe hana bond nzuri na wafanyakazi. He is too bossy na ni mkali. Ana uchaga mwingi na haamini kwenye mtu kupata kingi. Rejea kauli ya Lady Jaydee katika ule waraka wake maarufu "Kila siku mnamsema Ruge.. Ila huyo Kusaga ni nyoka zaidi".
Sasa, Joe akianza kushiriki rasmi kwenye operation za CMG basi itarajiwe vijana wengi kufanya kazi kwa nidhamu ya uoga na mizengwe. Tofauti na walivyokuwa chini ya Ruge.
Si ajabu kuanza kusikia majina makubwa yanachomoka pale na kukimbilia E-FM/TVE.
Na vile Majizzo ana msemo wake "It's not personal. It's business" atawanyakua kweli kweli.
Muda utasema!
Ruge alikuwa bingwa wa kuwapaka raia rangi. Hata kama mtu ni butu atampaisha aonekane mkali. Too badMzee usemalo ni kweli Ruge aliwadekeza sana watangazaji wake aliishi nao kama familia yake
Umewaza mbaliNi kweli kabisa ni kama Ndoa.... Si kuwa Mwili Mmoja tu......ni pamoja na Kujaliana, Kufarijiana,mpaka MTU anaona Raha kuwa nawe......
CHIKICHIKI unaweza hata kwenda nunua,......Shubhaaamiti,............
Ruge hakuwa na hisa pale, CMG inamilikwa na familia ya Kusaga na Joe ndio ana hisa nyingi zaidi.
"There is a company profile for Clouds Television at the Business Registrations and Licensing Agency (BRELA), according to which Alex Mkama hold 25% of the shares, just as much as Joseph Kusaga. Clouds Entertainment Limited holds 50% of shares. The current shareholders of Clouds Entertainment are Joseph M. Kusaga (50%), Judith Violet Kusaga (10%), Sheba Martha Kusaga (10%), Dogan Andrew Kusaga (10%), Joyce Alex Kusaga (5%), Alex Justine Kusaga (5%), and Prisca Mkama Kusaga (10%). "
Source:Media Ownership Monitor
Hata ubinafsi, uchoyo wa maarifa na roho mbaya tulizonazo watanzania za kutotaka mwengine afanikiwe hakuwa nao! Mie nahisi hakuwa wa nchi hii. Tunafichwa jambo.Mnasemaga wahaya hawana upendo sijui huyo ruge alikuwa wa wapi?
Clouds entertainment ndo inamiliki Clouds Tv na clouds fm pia..so Ruge alikuwa mshika pembe tu pale walaji wengine..Hiyo ni Televisheni, vipi kuhusu redio. Inamaana vile vifaa alivyokua anavituma Ruge kutoka marekani alikua analipwa hela yake na sio kuwekeza? Kwa mawazo yake ya uwekezaji tu asingekua tayari kuipigania redio ya familia ambayo mmoja wa wanafamilia inasemekana anaihujumu (inasemekana). Nina imani alikua na mkono wake redioni, ndio maana televisheni haikua na ubunifu hata kidogo kwasababu marehemu hakuwa sehemu yake.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Clouds entertainment ndo inamiliki Clouds Tv na clouds fm pia..so Ruge alikuwa mshika pembe tu pale walaji wengine..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni Televisheni, vipi kuhusu redio. Inamaana vile vifaa alivyokua anavituma Ruge kutoka marekani alikua analipwa hela yake na sio kuwekeza? Kwa mawazo yake ya uwekezaji tu asingekua tayari kuipigania redio ya familia ambayo mmoja wa wanafamilia inasemekana anaihujumu (inasemekana). Nina imani alikua na mkono wake redioni, ndio maana televisheni haikua na ubunifu hata kidogo kwasababu marehemu hakuwa sehemu yake.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Meeen!!jaribu kutafuta kama utapata kuna kampuni inaitwa clouds fm hapo Blera.wacha we!
hauko sahihi