Kuna dalili wafanyakazi wengi wa Clouds wakashindwana na Joe Kusaga


population ya wahaya isinge mtosha kutengeneza pesa,huyo alikuwa ni mjasiriamali ambaye alihitaji zaidi ku deal na karba zote bila ubaguzi.Nafikiri umenielewa vizuri unapokuwa umeachwa acha kuchukia wahaya wote kwani hata sehemu nyingine nao wanaacha.
 
Mnasemaga wahaya hawana upendo sijui huyo ruge alikuwa wa wapi?
Wanasemaga Ruge ni Mhaya wa Mjini. Zile tabia za Kihaya ingawa alikuwanazo lakini aliweza kuzidhibiti ili zisionekane sana.
 
binafsi sijakuelewa

unataka kusema nini hasa? Brela, clouds, clouds entertainment vina nini?

Ninachokupinga ni issue ya mshiko. unaweza ukawa mmiliki wa kampuni ila sio mwendeshaji!

na mwendeshaji anaweza kuwa signatories
Nimekuelewa sana,,lakn kwa ninavyoelewa mimi ni kwamba share holders ndo wanaogawana profit,kama clouds entertainment ina miliki radio na tv inamana kwamba wao as family ndo wanaogawana faida na waliobaki nikupokea mshahara tu,kama ilivyokuwa kwa ruge,sema alipewa nafasi kubwa tu as one of founders ya kutumia anavyotaka mfano kuandaa kampeni mpali mbali kama za malaria na zingne ambazo alikuwa anapokea mkwanja mrefu tu..ila kusema ni share holders hapo tutakesha tuagize warumi atuletee chai kesho..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

sawa mkuu
 
Ni kweli kabisa ni kama Ndoa.... Si kuwa Mwili Mmoja tu......ni pamoja na Kujaliana, Kufarijiana,mpaka MTU anaona Raha kuwa nawe......
CHIKICHIKI unaweza hata kwenda nunua,......Shubhaaamiti,............
Hata wewe uandishi wako nimeupenda hasa ulivyo malizia.
 
ndio ukizaliwa uhayani ni mwendo wa migomba tu ila ulaya bata na kujielewa ndivyo alivyokua ruge

tena kama hawa wahaya wanaozaliwa kwenye majani ya migomba wamejaa nyodo mdundo balaaaaa
topic hii inashabihiana na mjadala unaoendelea ? Sidhani.
 
Mkuu umeshindwa kuelewa Clouds Entertainment ndo Clouds Fm? Acha na story za kutuma vifaa hizo ni story za mtaani..
 


Dah walifungua wote from the idea na kila kitu then Ruge hana share yoyote na alikua Poa tu kweli Ruge alikua wa kipekee na Kusaga ni nyoka , yaani wamepanga halafu akaweka majina ya ndugu zake badala ya Ruge halafu akamtumia big time na Ruge kimya ???? Uchawi upo
 
Aisee!
 

Japo hii tafsiri yako ina makosa kulinganisha na habari halisi, lakini inatakiwa ikifikirishe angalau kwenye hiyo mistari kadhaa niliyoiacha.
Kusaga na Ruge wameanzisha CMG, ikaanza kumiliki Clouds FM baadae ikaongeza redio mbili.

Mwandishi anasema hakuna taarifa za kampuni hiyo huko TCRA (sijajua ni kwa nini) lakini kuna wasifu wa Clouds TV huko Brela. Katika huo wasifu mmiliki alietajwa ni Clouds Entertainment na sio Clouds Media Group (halafu bado hauioni tofauti), au kuna mwaka hii kampuni ilibadili jina?
Hakuna sehemu yoyote taarifa imeelezea wamiliki wa hisa za CMG, wala mmiliki halali wa Clouds FM.
Sijajua uko upande gani wa mabishano, lakini tafakari kwa hayo machache.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijajua uko upande gani wa mabishano, lakini tafakari kwa hayo machache.
Sidhani kama tunabishana Mkuu, hakuna taarifa niliyotoa kichwani hapo zaidi ya ku-share taarifa zilizo kwenye hiyo link, tunaweza kuwa tunatofautiana uelewa tu wa hizo taarifa, otherwise kama unge-share pia chanzo cha taarifa tofauti na hizo, kwenye hiyo tafsiri ya kiswahili kweli kuna makosa, ila ile ya kiingereza na ipo kwenye hiyo link wameeleza mgawanyo wa shares wa CMG.
"The current shareholders of Clouds Entertainment are Joseph M. Kusaga (50%), Judith Violet Kusaga (10%), Sheba Martha Kusaga (10%), Dogan Andrew Kusaga (10%), Joyce Alex Kusaga (5%), Alex Justine Kusaga (5%), and Prisca Mkama Kusaga (10%).

Ruge Mutahaba today still is Director of Strategy and Programs Development at Clouds Media Group."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…