Kuna dalili wafanyakazi wengi wa Clouds wakashindwana na Joe Kusaga

Hapa mjini watu wanakonda kwa mengi!
 
Majina makubwa yanachomoka Clouds na kuhamia EFM.

B12 tayari.
 
Bila shaka wewe ndo B12. Haiwezekani uandike ukweli uliopitiliza.
 
Hatimae yametimia ungekuwa na kanisa kama la ministry upepo ungeitwa NABII
 
Mambo yashaanza...Sema Media ni yake,akiibomoa ni hasara kwake mwenyewe.
 
Dinnamarios na zamarad mpaka Leo haziivi
 
Kuna mtangazaji mwingine mkubwa anang'olewa kutoka media kubwa kwenda media pinzani wiki ijayo. Huu ni usajili wa dirisha dogo tu.
 
Kuna mtangazaji mwingine mkubwa anang'olewa kutoka media kubwa kwenda media pinzani wiki ijayo. Huu ni usajili wa dirisha dogo tu.
Akienda Wasafi si anaendelea kua mwajiriwa wa boss joe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…