Kuna dawa ya kuacha Pombe?

kuacha pombe ni unabidi ujikane(uwe na nia thabiti, uvumilivu na kuepuka tamaa)
Epuka pia marafiki wanaotumia pombe na maeneo hatarishi.

mimi nilitumia njia hiyo nikafanikiwa.
 
anaweza tu kufikiria kwani kazaliwa na pombe au anafanya kazi kwajili ya pombe kwanai alivyokua hanywi pombe alipungukiwa na nini na hiyo pombe imempa nini toka anze kuitumikia
Hakika naamini Ujumbe umemfikia
 
Pombe si Ugonjwa,,Pombe ni Dawa,,Wewe uliona wapi Dawa ikawa na Dawa,,,Kila Kitu ni Kiasi na Kwa Wakati,,Ukifanya vinginevyo ni Kuitafuta fedhea,,,mateso na majeraha unachosha Mwili Tu.###Sira 31:27###
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…