Kuna dawa ya kuacha Pombe?

Kuna dawa ya kuacha Pombe?

Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe
Shukran
Inaanzia na mindset yako... Angalia route zako na aina ya watu unaokuwa nao mara nyingi.....Ila njia nzuri zaid tumia vinjwaji vyenye ladha ya polbe kama Baltika na taratibu punguza frequency kama ulikuwa unakunywa kila siku... Shuka iwe mara 4.. 3....2....1, na kiwango pia...
Jipe muda wa mwaka mzima na uwe commited katika plan zako
 
Back
Top Bottom